EU yammwagia sifa Rais Samia

Mimi hapo ndio huwa mnanishangaza, wakiwapa sifa mnaona bonge la UJIKO, ila wakiwakosoa tu, mnakuja juu ohooo, hii ni nchi huru hatutaki kuingiliwa na beberu!!au akwapa mkopo/msaada mnashukuru sana, kuwa ni wazuri ila pale wakiwaambia jamani mbona ufisadi umezidi.Mnakuja juu .
 
Wewe unatakaje mkuu?
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
 
#Tanzania inapepea kweli kweli kiuchumi,Mungu ibariki Tanzania
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Safi Sana mama
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…