CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #81
Mtaelewa tu===
EU imemmwagia sifa kedekede Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania hasa kwenye Covid-19
EU inasema hali ya hewa kisiasa na Asasi za kiraia ni nzuri na imetengemaa na kila kitu kinakwenda vizuri nchi Tanzania,
EU imeahidi kuendelea kuifuatilia kwa karibu Tanzania na kuendelea kuisaidia katika nyanja mbalimbali,
Sikiliza mpaka mwisho
Mmmmh"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,
Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
KabisaaMtaelewa tu