Mimi nimebaki na washangaa wtz wanaowashukuru EURA,kwa kushusha bei ya mafuta kwa 7%mpaka 8.5%,mi nathubutu kuwaita hawa jamaa ni wezi na huenda walinyooshewa mkono na wamiliki station za mafuta,kiukweli katika soko la dunia bei ya mafuta imeshuka kwa 22%sasa kwanini wao washushe kwa 7%mpaka 8.5% kama wao sio wezi izo 15% mpaka 13.5%wanazipeleka wapi?wezi tu hao.