Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Mimi sio mtu wa mahesabu, ila leo nimefanya ugunduzi mkubwa wa mahesabu ambao unaweza kuleta manufaa gani katika ufundishaji somo la hesabu haswa kipengele cha kutafuta asilimia 50 ya number yoyote!.
Ugunduzi wenyewe ni huu
Ukichukua number yoyote ukazidisha mara 2 jawabu lake ni lile lile sawa na ukichukua number hiyo ukagawanya kwa 5 na kuzidisha mara 10.
Mfano 10x2 = 20
10/5 = 2 x 10 = 20
Nimeweza kufanya ugunduzi huu, katika kupiga hesabu za asilimia, yaani kutafuta asilimi 50 ya hesabu yoyote njia tuliofundishwa shule ni njia ndefu,
Njia ya short cut kupata 50% ni
Pasco.

- Unaichukua hiyo number, unazidisha mara 50
- Ukishapata jibu unaganya kwa 100!.
- Ndipo unapata asilimia yako!.
Njia ya short cut kupata 50% ni
- Unachukua hiyo number, unaigawanya kwa 2, jibu ndio 50%.
Pasco.