Eureka! Nimegundua Hesabu mpya, Njia rahisi ya kupata asilimia

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Mimi sio mtu wa mahesabu, ila leo nimefanya ugunduzi mkubwa wa mahesabu ambao unaweza kuleta manufaa gani katika ufundishaji somo la hesabu haswa kipengele cha kutafuta asilimia 50 ya number yoyote!.

Ugunduzi wenyewe ni huu

Ukichukua number yoyote ukazidisha mara 2 jawabu lake ni lile lile sawa na ukichukua number hiyo ukagawanya kwa 5 na kuzidisha mara 10.

Mfano 10x2 = 20
10/5 = 2 x 10 = 20

Nimeweza kufanya ugunduzi huu, katika kupiga hesabu za asilimia, yaani kutafuta asilimi 50 ya hesabu yoyote njia tuliofundishwa shule ni njia ndefu,


  1. Unaichukua hiyo number, unazidisha mara 50
  2. Ukishapata jibu unaganya kwa 100!.
  3. Ndipo unapata asilimia yako!.

Njia ya short cut kupata 50% ni


  1. Unachukua hiyo number, unaigawanya kwa 2, jibu ndio 50%.

Pasco.
 
Mkuu umejitahidi kugusa gusa ila ukisema umegundua ndo unakosea

Ugunduzi hauko hivyo, wala sijategemea kwa mtu wa hesabu anae fanya hayo mambo tangu darasa la nne leo ndo anakuja kugundua akiwa na umri mkubwa..ajabu tanzania
 
Pasco Mbona posts za siasa unafunguka hadi texts zinakuwa nyotanyota kwa msomaji ila kwenye huu ugunduzi wako umeweka utangulizi na conclusion pekee?

Hebu funguka maalim, weka full data na testings ulizofanya tuweze kuamini. Kisha mfumo huu 10/2 maana yake ni 10 gawanya kwa 2, Au mzee umegundua kuwa ile alama ya kugawanya inaweza ikatumika kwenye kuzidisha?
 
Last edited by a moderator:
ugunduzi wako utasaidia kwny nn hasa area gani ya hesabu utaapply huo ugunduzi wako mkuu??
 
Khaa!! Kwani kunatofauti gani kati ya 10/5 na 2??
Kwa mida uliyopost huu uzi wala si kosa
 
Ulichogundua ni nini sasa?
50% inafahamika ni nusu, ambayo ni n/2, hii ilikuwepo na itaendelea kuwepo, Sijakuelewa ugunduzi wako uko wapi.

Wanaochukua namba wakazidisha kwa 50 kisha waje kugawa kwa 100 ni vilaza kwani kanuni za kihesabu zinakuruhusu "kurahisisha" 50 iliyoko juu (numerator) against 100 iliyoko chini (denominator) ukabaki na 1 juu & 2 chini, umegundua nini hasa?
 
◾Eureka (word), a famous exclamation attributed to Archimedes
 
Kupata% ni lazima namba ihusianishwe na 100.Na siyo kuipachika kama unavyotaka ili kujifurahisha.Kila kitu kina kanuni kama nusu au robo ya namba yeyote lazima iwe 50% au 25% when expressed as a fraction of 100 respectively.
Si kweli 3/2=50%
 
duh,,, hiii kali unafanya kitu kile kile alafu unasema umegundua,,,,xory, you have failed to deliver it right
 
hakuna kitu umeundua bana, tangu lini 10/2 ikawa 2 it will remain 5 mangi.... wamisry ndo wababe tu hata mzungu hakuwahi kugundua chochote wagiriki walicopy na ku-pate kutoka MISRY..:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Tatizo ulikuwa hujui maana ya asilimia hamsini!! Nikufumbue macho jinsi hesabu ilivyo..
Ulipo gawanya kwa 2 inamaanisha hivyo mbili imetokea kwenye 50%=50/100= 1/2!!
Inaonesha ulikimbia hesabu!!
 
Hahaha!
utawaweza wa-bongo kwa kupenda short cut,,,,?!?
ndo maana sangoma wanaongezeka kila kukicha!
 
Pasco hata Mark na Linda ukiwapelekea hy hesabu watakushangaa hata hvy wasalimie
 
Last edited by a moderator:
Haaahaaa! Hongera kwa ugunduzi mkuu! Hiyo sisi tulifundishwa tangu darasa la tano kule shuleni kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…