EURO 2016: Ugomvi wa Mashabiki, shida ni nini?

Leo tena Russia wamekutana na nyundo ya kamati ya kimataifa ya Olympic imewaambia kuwa wachezaji wao wanaojihusisha na riadha hawataenda Rio-Brazil kwa sababu wanatumia dawa za kuongeza nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…