Ninaomba kuuliza,,, ukiwa na account ya fedha za kigeni Kama ya currency ya Euro [emoji387], Je, unafanyaje ili uongeze thamani ya pesa utakayoitoa kutoka kwenye account yako?
A) Unatumia ATM ili itoke TZS straight
B) Unaenda dirishani utoe Euro [emoji387] cash ili ukabadilishe nje kwa bureau de change/Bank
C) ...