Kwa mwaka gani maana mpaka sasa messi ndio mchezaji boramchezaji bora in the whole world...
Kwani Ronaldo alikuwa anacheza peke yake au timu nzima ilipaswa kupigana?Nimesema ni mchango, wakati huo huo nikasema Ronaldo siyo mtu wa kusubiri best loser kuingia Top 16 dhidi ya kina Iceland, Hungary na Austria!
Hizo timu zako bora mbona kombe LA dunia wanalisikilizia ulaya tu ,ulaya hakuna timu ya kuifunga goli NNE ,saba na nakuhakikishia amerca watasahau world cupNimesema ni mchango, wakati huo huo nikasema Ronaldo siyo mtu wa kusubiri best loser kuingia Top 16 dhidi ya kina Iceland, Hungary na Austria!
....hebu jaribu kutazama Copa America Centenario utasahau huo upuuzi wa Euro; hivi, vitimu kama Northern Ireland ,Wales,Slovakia,Hungary,Portugal (yes i mean it Portugal!),Austria, utaviweka wapi vikikutana na Chile,Colombia,Argentina,Uruguay,Paraguay?!
...Halafu ajabu zaidi,hivyo vitimu vibovu ndio vime-qualify kwa last 16?!, bure kabisa!
Kwani Ronaldo alikuwa anacheza peke yake au timu nzima ilipaswa kupigana?
Au alipaswa kuwa anadaka golini anadrible kwenda kufunga halafu anarudi kuzuia?
Hizo timu zako bora mbona kombe LA dunia wanalisikilizia ulaya tu ,ulaya hakuna timu ya kuifunga goli NNE ,saba na nakuhakikishia amerca watasahau world cup
Unavyosema timu mbovu unaangalia jina la nchi o wachezaji o timu inachezaje kwa ujumla.?
Hiyo Argentina timu ya miaka 86 wakati wa maradona miaka ya sasa tunazitambua brazil Italy Spain France German .Argentina yako ya miaka ya 86 baki nayo wewe ,wawe kwenye rank wasiwe world cup ijayo kombe lina baki ulaya all time top score wa kombe kubwa duniani anaendelea kuwa wa ulaya .na nachojua wanapokutana world cup final timu ya ulaya isiyojua na Argentina inayojua kombe linabaki ulaya najivunia timu za ulaya....."kombe la dunia wanalisikilizia ulaya" ndio nini?, wewe kama una akili timamu unaweza kuilinganisha Chile na Austria?, Colombia na Iceland?, Argentina na Hungary?, unaposema ulaya hakuna timu ya kuifunga nne ndio sifa?, au wamekutana wote vizibo ndio maana hawafungani nne?!
Currently,Argentina tops the Fifa rankingz!
Kwani kwenye makombe ya dunia hizo timu za America huwa hawashirikigi? Je nini kinachotokea kwa hizo timu zako ulizozitaja kama Argentina, Chile, n.k? Au umeanza kushabikia mpira mwaka huu kwenye kombe la copa America? Timu za ulaya zipo vizuri mkuu.....hebu jaribu kutazama Copa America Centenario utasahau huo upuuzi wa Euro; hivi, vitimu kama Northern Ireland ,Wales,Slovakia,Hungary,Portugal (yes i mean it Portugal!),Austria, utaviweka wapi vikikutana na Chile,Colombia,Argentina,Uruguay,Paraguay?!
...Halafu ajabu zaidi,hivyo vitimu vibovu ndio vime-qualify kwa last 16?!, bure kabisa!
messi anacheza na timu mbovu...copa America ni mbovu kupita CHANronaldo kwa messi atasubiria sana..argentina ipo fainal na messi anamabao matano mkononi...ila huyo bishoo anayo mawili tena kwa kuwapiga vibonde
nitajie timu ya America iliyochukua kombe la dunia miaka ya hivi karibuni ukitoa brazil....hebu jaribu kutazama Copa America Centenario utasahau huo upuuzi wa Euro; hivi, vitimu kama Northern Ireland ,Wales,Slovakia,Hungary,Portugal (yes i mean it Portugal!),Austria, utaviweka wapi vikikutana na Chile,Colombia,Argentina,Uruguay,Paraguay?!
...Halafu ajabu zaidi,hivyo vitimu vibovu ndio vime-qualify kwa last 16?!, bure kabisa!
Akili mbofu sana hizi, kwa nini hujiulizi messi hajashinda kombe la dunia??Walishinda?
Mchezaji kama Ronaldo kuingia top 16 as best loser ni aibu!
Kwenye makundi unashindwa hata kushinda mechi moja? Utaweza mitoano? Kwa sababu kwenye mitoano ushindi ni lazima.
Euro championship ni Kama world cup! Timu za america ya kusini siku hizi ni wateja kwa timu za ulaya.....hebu jaribu kutazama Copa America Centenario utasahau huo upuuzi wa Euro; hivi, vitimu kama Northern Ireland ,Wales,Slovakia,Hungary,Portugal (yes i mean it Portugal!),Austria, utaviweka wapi vikikutana na Chile,Colombia,Argentina,Uruguay,Paraguay?!
...Halafu ajabu zaidi,hivyo vitimu vibovu ndio vime-qualify kwa last 16?!, bure kabisa!
Yaani ulaya wazidiwe kisoccer na amerika????...."kombe la dunia wanalisikilizia ulaya" ndio nini?, wewe kama una akili timamu unaweza kuilinganisha Chile na Austria?, Colombia na Iceland?, Argentina na Hungary?, unaposema ulaya hakuna timu ya kuifunga nne ndio sifa?, au wamekutana wote vizibo ndio maana hawafungani nne?!
Currently,Argentina tops the Fifa rankingz!
Yaani ulaya wazidiwe kisoccer na amerika????
Utakuwa una utani wewe.
Tangu Brazil apotee kwenye ushindani kidunia, hakuna timu nyingine kutoka nje ya bara la ulaya ametwaa kombe la dunia.
Leo eti unasema ulaya kitu gani!
Euro championship ni Kama world cup! Timu za america ya kusini siku hizi ni wateja kwa timu za ulaya.
nitajie timu ya America iliyochukua kombe la dunia miaka ya hivi karibuni ukitoa brazil
ok...kumbe unamaanisha upinzani wa timu mbovu sio? upinzani upo kwa sababu timu zote ni mbovu hazijazidiana viwango...ni sawa na ndanda icheze na jkt ruvu ushindani utakuwepo tu kwa sababu viwango vyao vinalingana...hakuna timu iliyochukua kombe la dunia ila ushindani upo zaidi ya EURO 2016!
vipi france ikicheza na Germany/...Italy na spain....mjomba nazungumzia ushindani kati ya timu na timu ambao ndio unanogesha mashindano. Mf: France atacheza na Northern ireland, Belgium vs Hungary, Germany vs (jaza mwenyewe) kwenye last 16!, hapa kweli kuna sababu ya ku-bet?!
we ni muongo...copa America toka mashindano hayajaanza bingwa anajulikana ni argentina hajafungwa wala kudroo hata mechi moja... kwenye euro hakuna timu iliyoshinda mechi zote na mpaka sasa hivi ni ngumu kutabiri bingwa.......uwe unasoma uelewe,hizo timu nilizoziweka hapo juu umeziona? ambazo ndizo ziko kwenye Euro!, halafu mnasema mpk mshindi wa tatu kwenye kundi ana qualify kwa nxt round?!... timu ina point tatu ime draw mechi zote! very poor indeed!, mechi hazivutii kbs unaenda na matokeo kichwani thn yanakuwa kweli!