Kwa wapenzi wa kandanda JF!!...
Zikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa fainali za Mataifa Ulaya (Euro 2008), nimeona ni vyema kama tukawa na thread maalumu kwa michuano yenye msisimko kama hii. Hivyo basi naomba katika thread hii tuweze kuchangia mambo kadha wa kadha hadi pale michuano hii itakapomalizika, nitaomba updates na michango mbalimbali ili kuifanya iwe endelevu..wale wenye pics, vikosi, makocha, injuries, maoni ya makocha, maoni yetu kama wapenda soka, updates za scores, etc basi wanakaribisha....
Kwa kuanza naomba niwape team shiriki na makundi zilipo..
Group A
Czech Republic
Portugal
Switzerland
Turkey
Group B
Austria
Croatia
Germany
Poland
Group C
France
Italy
Netherlands
Romania
Group D
Greece
Russia
Spain
Sweden