Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Wakuu nimerudi baada ya kuomboleza kipigo cha Moscow.
Hii karata ya leo naona mshaichangamkia...je nani zaidi jamani?
Link safi ya gemu hii hapa ... http://en.euro2008.uefa.com/
Weekendi njema!
kwa kweli leo wajerumani wametoa uhondo!macho kwa kesho ni balaa!maana group la kifo si mchezo mama!hasa italy na holand kesho ni balaa!Vijana wa Kijerumani wameanza vizuri
German 2 Polland 0.
Group C nao kesho sijui watatoa uhondo gani.
looh bado tu ulikua waomboleza???pole sana lakini ndio manchester united hao wakikutia adabu waisikilizia ipasavyo...muwe na adabu vijana!!
naona croatia wanaongoza dakika inakwenda ya sabini!!
..shikamoo jazz france watoane jasho na waromania ila game ya pili ndo natabiri itakua ya kufa mtu
Niko tayari....dial up hiyo ilikuwa mwaka 47, sasa hivi minimum ni h-speed na kuendelea, nitundikie mkuu wangu.....nami niserebuke
Mkuu usije ukawa dissapointed, hawa Netherlands wamuamua kuacha kucheza soka la kuvutia (kama walivyofanya Brazil)....inaweza ikawa mechi kubwa lakini isiyovutia! Tungoje tuone.
haya france ndo haooo wametoa draw na romania bila bila wit jus a single shot on target dakika zooote 90,ambao kwenye hili kundi ndo de underdogs....next matches wata face italy na wadachi sijui ka watapita hata hili kundi!!
lets wait for the next one nw
kwani jamani mnasahau FRANCE ndo huwa anza yao!safari bado wataamka tu