Abubakari Mussa
Senior Member
- Mar 26, 2020
- 129
- 188
Bayern leverkusen leo ayakanyaga
Apigwa 3-0 Mpaka muda huu
Vipi atapiga comeback tena?
Apigwa 3-0 Mpaka muda huu
Vipi atapiga comeback tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atalanta wenyewe sio wakubwa. "First title since 70's" kama nilimsikia vizuri mtangazaji.Hana pa kupigia haya ndio maajabu ya mpira Kila unapotka kuhisi umekua mkubwa basi mpira unakukumbusha kuwa bado
For real manWhat a cruel end to an invincible season.
Ila kocha wao ni mkubwa kuliko ALONSOAtalanta wenyewe sio wakubwa. "First title since 70's" kama nilimsikia vizuri mtangazaji.
Mkubwa katika Nini? Kama umri na uzoefu Iko wazi zaidi ya hapo ni Kocha wa kawaida tu.Ila kocha wao ni mkubwa kuliko ALONSO
Sasa zaidi ya hapo unataka ukubwa upi? Ukubwa wa kichwa au nini!!Mkubwa katika Nini? Kama umri na uzoefu Iko wazi zaidi ya hapo ni Kocha wa kawaida tu.
MatajiSasa zaidi ya hapo unataka ukubwa upi? Ukubwa wa kichwa au nini!!
Mataji
Hapana mi nilimaanisha UzoefuMataji
Hapo sawa Alonso ni mchanga mno Kwa GasperiniHapana mi nilimaanisha Uzoefu
Mkubwa katika Nini? Kama umri na uzoefu Iko wazi zaidi ya hapo ni Kocha wa kawaida tu.
Ana Nini Cha ziada zaidi ya hiyo Europa?Kocha wa kawaida? Good Joke
Ana Nini Cha ziada zaidi ya hiyo Europa?