Uko Barca. Niko R. Madrid.Sevila 3 Liverfoool 1
Spanish football Ni hatari Sana Klopp kiduku chote kimeisha
Hahahamkuu Nipo Barcelona pekee siko Man u ila tunawakilisha La Liga
Wametuangusha sanaHahaha
Daaah liver wamenuharibia siku
HIVI SEVILLA MPIRA WAO NAO MKALI?
Yeah sio kwamba imetuuma..... Hivyo its okayAaah pole jimena
Kwanza tumejikopesha tuu ukoo
Ndiyo maana bado una utoto, pigaaaaa. Sevila imekutokea wapi?mkuu Nipo Barcelona pekee siko Man u ila tunawakilisha La Liga