Ila sasa nao mwakani hawapandi ndege, mweerYeah sio kwamba imetuuma..... Hivyo its okay
Hahahahahaha imekula kwao.Ila sasa nao mwakani hawapandi ndege, mweer
Najua sasa hivi upo uvunguni mwa kitanda[emoji3] [emoji2]Sijawahi kuichukia Liverpool, niko pamoja nanyi usiku huu kuhakikisha ufalme wa EPL hauchanwichanwi na Spain
BACK TANGANYIKA
Najua sasa hivi upo uvunguni mwa kitanda[emoji3] [emoji2]
liverpool ni kama maharage, lazma yaanze kwa kurukaruka ndo yaive. Sasa we ukidhani wamewakamata Sevillanaona anawabeba ili kombe liende spain halafu mtutambie la liga ligi bora,sevilla wanakimbiakimbia tu kama wendawazimu
Hahaha sasa walitutoa kwa mbwembwe alaf wanaishia apanHahahahahaha imekula kwao.
leo naona wameachwa wenyewe.You will never walk alone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Haya ndo tunasema maajabu ya footballUkishangaa ya Roy Hudson utayaona ya Deschamps, unamchukua Giroud unamuacha Gameiro