palikua na penat 3 za wazi,refa kajfanya haoniLeague Bora Duniani toka 2013 ni SPAIN tu.
Liverpool kasha chezea. Liverpool 1: Sevilla 3 dk 85.
HahahahaaaaaaaaLiverpool wanapojaribu kuingia Uefa kwa mlango wa uani
Ndo ujue sasa kuwa walitutoa kwa bahatiHahaha sasa walitutoa kwa mbwembwe alaf wanaishia apan
Wamenikera
Hahahah halafu wameshindwa sasaLiverpool wanapojaribu kuingia Uefa kwa mlango wa uani
HahahaNdo ujue sasa kuwa walitutoa kwa bahati
Kabisaa..... Maana hakuna namna sasaHahaha
Nmeenda kuwatembelea pale kwao wametulia kwl kwl, wasjal mwakani tuta wasimulia
Walibahatisha tuNdo ujue sasa kuwa walitutoa kwa bahati
KabisaWalibahatisha tu
Ni kweli maana Looserpool wameonja msisimko na Cokeall in all, mechi nzuri sana kwa neutrals