beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
ULAYA: Klabu ya soka ya Arsenal ya Uingereza jana usiku imeibukana na ushindi mnono wa goli 4-1 dhidi ya klabu ya CSKA Moskva katika michuano ya Europa ligi
Magoli ya Arsenal yalifungwa na Aaron Ramsey(9' na 28') na Alexandre Lacazette (23' na 35'). Huku goli la kufutia machozi la Moskva likifungwa na Aleksandr Golovin(15')
Katika matokeo mengine ya michuano hiyo Klabu ya Atletico de Madrid imepata ushindi wa goli 2-0 dhidi ya klabu ya Sporting CP
Magoli ya Atletico yamefungwa na Koke na Griezmann
Mechi hizi ni mzunguko wa kwanza(first leg), watarudiana tena Aprili 12