Msimu wa 2022/23 ni msimu wa 52 wa michuano hii, ikiwa ni wa 14 tangu michuano hii ibadilishwe jina kutoka UEFA Cup ni msimu wa pili tangu kuanza kwa mfumo mpya.
Hatua ya makundi inaanza lini?
Matchday 1: 8 September 2022
Matchday 2: 15 September 2022
Matchday 3: 6 October 2022
Matchday 4: 13 October 2022
Matchday 5: 27 October 2022
Matchday 6: 3 November 2022
Hatua ya mtoano inaanza lini?
Knockout round play-offs: 16 & 23 February
Round of 16: 9 & 16 March 2023
Quarter-finals: 13 & 20 April 2023
Semi-finals: 11 & 18 May 2023
Final: 31 May 2023
MATOKEO YA DROO