Simba na Sevilla zilitoka nne tano. Man U akaja na akili za penati akaumbuka. Katika kucheza na Sevilla Simba ni bora kuliko Man U.
Mi mwenyewe niliamini Inter anashinda. Livescore poll ilimpa Inter 50% ya ushindi na Sevilla 25%Mkuu, unawazungumzia hawa Sevilla ambao ni ndugu / rafiki wa Yanga?
Mpira una maajabu sana, watu wengi waliweka matumaini yao kwa Inter kushinda mechi ya leo
Mpira una maajabu sana, watu wengi waliweka matumaini yao kwa Inter kushinda mechi ya leo
Duh we jamaa kweli unashangaza, alieweka matumaini kwa inter atakua sio mfuatiliaji wa mpira au hajui mpira. King of europa utamlinganisha na inter au klabu yoyote kutoka uingereza!
They've done it
Sevilla win the Europa league for the sixth time
2006
2007
2014
2015
2016
2020
Hii kwa sisi wachumi kuna nadharia inaitwa "Transitivity axiom"
If A=B and
B=C therefore
A=C
Kama Simba alifungwa na Sevilla kwa utofauti wa magoli machache na Sevilla akamfunga Man U kwa tofauti ya magoli mengi basi
Unaweza kuhitimisha kwa kusema Simba ni bora kuliko Man U.
Under Ceteris Peribus.
GGMU[emoji123][emoji123]
Sevilla hili ni kombe lao.Ukiingia nao finali unaumbukaMi mwenyewe niliamini Inter anashinda. Livescore poll ilimpa Inter 50% ya ushindi na Sevilla 25%
Anhaa sisi Arsenal tuliingia fainali Europa na kocha ambaye ilisemekana hilo ni kombe lake.Sevilla hili ni kombe lao.Ukiingia nao finali unaumbuka
Kwenye kujadili timu kwa ssa Arsernal achana nayo.Ukweli Ni kwamba Real Madrid na Uefa ,Sevilla na Europa Ni wafalme wa makombe hayo.Anhaa sisi Arsenal tuliingia fainali Europa na kocha ambaye ilisemekana hilo ni kombe lake.
Kilichotupata tunakijua.
Mambo ya hilo kombe langu (Kama Arsenal FA) hamna hayo ni kujiandaa na juhudi ndiyo zitakuokoa.
Kwa Sevilla niliyoiona ikicheza mpaka kukutana na Man U na Inter inavyoperform kipindi hichi huku Lukaku na Lautaro wakiwa hot ningekua sipo sahihi kusema Sevilla atashinda.
Kwa kuangalia quality ya team overall ilibidi niipe Inter same na waliopiga kura Livescore, wakaipa Inter 50% Sevilla akapewa 25%.
Kwahiyo Real Madrid ndiyo inacheza na PSG vile? Au wanacheza na Bayern?Kwenye kujadili timu kwa ssa Arsernal achana nayo.Ukweli Ni kwamba Real Madrid na Uefa ,Sevilla na Europa Ni wafalme wa makombe hayo.
Kwenye kujadili timu kwa ssa Arsernal achana nayo.Ukweli Ni kwamba Real Madrid na Uefa ,Sevilla na Europa Ni wafalme wa makombe hayo.
Umenikumbusha Economics; Under ceteris peribus.Hii kwa sisi wachumi kuna nadharia ya Kiuchumi inaitwa "Transitivity axiom"
If A=B and
B=C therefore
A=C
Kama Simba alifungwa na Sevilla kwa utofauti wa magoli machache na Sevilla akamfunga Man U kwa tofauti ya magoli mengi basi
Unaweza kuhitimisha kwa kusema Simba ni bora kuliko Man U.
Under Ceteris Peribus.
GGMU[emoji123][emoji123]
Mkuu hili swali unauliza ukiwa serious au unatania?Madrid na Barcelona wametofautiana makombe mangapi ya ucl?
.... au klabu yoyote kutoka uingereza!
Huyu mwenyewe 2016 final alikutana na kichapo.Iondoe Liverpool kwenye huu ulinganifu.
Madrid UCL 13 Barcelona 5 Kama sikoseiMadrid na Barcelona wametofautiana makombe mangapi ya ucl?
Huyu mwenyewe 2016 final alikutana na kichapo.
HiyoMadrid na Barcelona wametofautiana makombe mangapi ya ucl?