European Aluminium windows grade 1

European Aluminium windows grade 1

Atlantis Voyager

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
371
Reaction score
502
Habari . Nimepata kuona kwenye nyumba za matajiri wachache wanafunga European Aluminum very high quality na ngumu zinakuwa na rangi ya blue. Ulitoa Atlantic metal Ltd ni nani mwingine anatengeneza na kuuza hapa DSM.

IMG-20220312-WA0013.jpg
 
Jaribu kuwachek wangenga pale Tbt na wao ni magwiji
Sijakupata vizuri wangenga ni kampuni au fundi aluminium wanjiita wangenga wapo Tabata sehemu gani. Hapa online hawana information zozote kama simu na location yao.
 
Sijakupata vizuri wangenga ni kampuni au fundi aluminium wanjiita wangenga wapo tabata sehemu gani. Hapa online hawana information zozote kama simu na location yao.
Sorry ni wahenga wapo tabata kinyerezi opppsite na kanisa katoliki
 
Hizo aluminum zina bei mara mbili ya pvc. Ni za gharama sana. The best option ni kuagiza tu
IMG_3590.jpg

IMG_3579.jpg
 
Hv mheshimiwa huwaga huna cha kuandika au ndo makusudi tu,

Ah kiukweli hata km ndo unajibrand kwa style hii nop inatia ukakasi kidogo sababu kila topic upo halafu unachokiandika ndo hichohicho always.Napata mashaka ku figure out kichwa chako kina nn ndani.
Huyu jamaa bwana kuna kitu atakuwa alikutana nacho humu.
 
Hv mheshimiwa huwaga huna cha kuandika au ndo makusudi tu,

Ah kiukweli hata km ndo unajibrand kwa style hii nop inatia ukakasi kidogo sababu kila topic upo halafu unachokiandika ndo hichohicho always.Napata mashaka ku figure out kichwa chako kina nn ndani.
1. Inasikitisha sana.
2. Ngoja tuone
3. Ngoja waje
4. Tusubiri watupe majibu
6. Inatatiza sana

🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom