<br />Kigezo gani kimetumika kuiweka arsenal kwenye poti 1 ?
Imekuwa trend kama ilivyokuwa Chelsea na Liverpool.Kwanini Real Madrid wanacheza sana na Lyon kwenye kundi moja kila mara?
Bado mmepata miteremko hiyo mkuuWale waliokuwa wanapiga kelele arsenal wanabebwa wako wapi?
Bado mmepata miteremko hiyo mkuu
Mi naona kama Man U ndo wamebebwa vileBado mmepata miteremko hiyo mkuu