European Parliament Orders Museveni to resign from Power before is Crashed

Sikubaliana na vitendo alivyofanyiwa Bob wine lakini hamna kitu nachukia kama Wazungu kutuambia cha kufanya. Kama Waganda wakifika boiling point watamtoa huyo Mzee.
 
Sikubaliana na vitendo alivyofanyiwa Bob wine lakini hamna kitu nachukia kama Wazungu kutuambia cha kufanya. Kama Waganda wakifika boiling point watamtoa huyo Mzee.
Bahati mbaya, ndio wapo kwenye nafasi/uwezo wa kusema. Mwishowe, usiangalie anayekwambia kama ni mzungu au la, ila angalia unachombiwa kama ni cha maana.
 
Sikubaliana na vitendo alivyofanyiwa Bob wine lakini hamna kitu nachukia kama Wazungu kutuambia cha kufanya. Kama Waganda wakifika boiling point watamtoa huyo Mzee.
Acha shallow reasoning, waganda watamtoa kwa njia gani wakati Museveni anatumia jeshi kuwaua. hapa kwani tumefanya nini wakati miili imeokotwa kila leo coco beach! Jeshi linatumiwa kuwaua ben saa nane, Lisu Mawazo and many more others! Tuna la kufanya? acha external force isaidie kumtoa!
 
waafrika hatuwezi kujitawala na uongozi hatujui, watu kama mu7, nkulunzinza, kagame, kabila n.k ni kielelezo cha ufinyu wa akili za mwafrika. viongozi wa kiafrika wana sifa zinazofanana ni wabinafsi na waroho wa madaraka!! EU endeleeni kukaza nati maana tumeshindwa kujikomboa!!
 
Waje tu wamchomoe, hatakiwi tena kuendelea kukaa Ikulu bali jela.
 
Huli taji Jiwe, kwanini? Hii list iende mbali hata kwa chama kimoja kuendelea kung'ang'ania madaraka kwa hila mbali mbali, hata kuua, nayo ni tatizo. Tunahitaji nguvu toka nje kuliko tusubiri kuuwawa watu wengi na watawala.
 
Waganda wamo utumwani miaka nenda rudi.. M7 ashabadili katiba awatawale milele, wapingaji wanashughulikiwa kikatili.

Last time Nyerere aliwakomboa toka makucha ya Dada iddi amin. Sasa hakuna wa kuwasemea hapa karibu. Acha wanasuliwe na Eu tu , hakuna namna ingine
 
Jamaa anaondoka sasa maana wazungu wakiamua ujuwe wamemchoka

Wanamuundalia kikosi kazi cha wazee wa porini mpaka mjini
 
Tusubiri tuone! Mbona huko Yemen na kwingineko ndio wao wanapiganisha vita na kusababisha mauaji makubwa kila uchao ? Jana tu Spain imeamua kuendelea kuuzia nchi za kiarabu zinazo iaangamiza Yemen guided missiles ! Ee mungu tunusuru na wazungu hawa wasilete vita Uganda !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…