Eva ndiye malkia wa lodge zote Tanzania

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
630
Reaction score
2,151
Kama wewe ni muumini wa minyanduano na mzururaji mzuri katika lodge na guest house mbalimbali ndani ya Tanzania kama nilivyokua mim tokea miaka ya 2000 mwanzoni mpaka Sasa sidhani Kama kuna malikia wa nguvu zaidi ya Eva.

Ndio, sabuni ya Eva', utapita guest house ya kwanza utaikosa lakini ya pili utaikuta.

Tena hii ukiiogea lazima upauke kama hukujipanga kuingia humo na mgando wako.

[emoji23] [emoji1787] Nilikuwa na tabia ya kifala saana.. Nikiiogea sikubali kuiacha gesti naibeba kuogea hata mara 2 home kujipoza uchungu wahela ya gesti, kama lodge wanatoa kifungua kinywa hicho ni lazima ninywe [emoji23][emoji1787]
 
Kwani Eva anatumia ID gani humu JF 🀣🀣🀣
 
[emoji23] [emoji1787] Nilikuwa na tabia ya kifala saana.. Nikiiogea sikubali kuiacha gesti naibeba kuogea hata mara 2 home kujipoza uchungu wahela ya gesti, kama lodge wanatoa kifungua kinywa hicho ni lazima ninywe [emoji23][emoji1787]
Sio ufala unalipia gharama zako....kumbuka umelipia hii huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…