Mkuu Kabulu katika uongozi wake pale Simba haikuwahi kutwaa ubingwa wa ligi zaidi ya kupigania nafasi ya tatu tu.Kaburu inafaa apewe nafasi, kina mula ngambi wapi pale kwa faida yao hata kusajili wachezaji hawawezi. Kina magori wanalialia Kuna usaliti wakati Mangungu no mwenyekiti jina
Hakuna mtu mwenye jicho la wachezaji Kama kaburu, kipindi Chao ndio Simba ilianza kufanya vizuri kumbuka mpira ni pesa bila pesa kupata matokeo ni ngumuMkuu Kabulu katika uongozi wake pale Simba haikuwahi kutwaa ubingwa wa ligi zaidi ya kupigania nafasi ya tatu tu.
The only positive ya uongozi wa wale jamaa ni kuendeleza harakati za ujenzi wa uwanja pale Bunju, na kuanzisha mchakato wa mabadiliko pale Simba.
Kumbuka Kaborou alikuwa makamu mwenyekiti wa Rage lakini baadae alijiuzulu.Hakuna mtu mwenye jicho la wachezaji Kama kaburu, kipindi Chao ndio Simba ilianza kufanya vizuri kumbuka mpira ni pesa bila pesa kupata matokeo ni ngumu
Rage alikuja kuiharibu Simba, aliwauza sammata na Ochan dola laki tatu akamleta mchezaji anaitwa Rahabu Hamisi akadai alikuwa anamweka benchi Samatta mbagala market kumbe hamna kitu, akamuuza Kapombe Azam kujanja baada ya Kapombe kurudi ufaransa kumbuka ufaransa alienda kwa mkopo. Akawauza Redondo na kiungo mwingine jina limenitoka akadanganya wamepata timu Misti kumbe kawauza Azam ndio maana kaburu akaondoka. Alikuja kugombea pamoja na Aveva ndio tukaanza kumshikisha adabu utopolo kabla hawajakamatwa timu ilikuwa unaenda vizuri sanaKumbuka Kaborou alikuwa makamu mwenyekiti wa Rage lakini baadae alijiuzulu.
Baada ya Rage Kabourou alirudi tena akiwa makamu mwenyekiti wa Aveva ndiyo kipindi ambacho Simba haikuwahi kutwaa ubingwa kwa miaka mitano mfululizo.
Ondoa hilo lopolopo jeupe hapo kwenye listHii Simba bila;
Kaburu
Aveva
Hanspop
Michael Wambura
Tulli
Manara et al
Ndio maaana tunapigwa na Waporipori ovyo ovyo maaana timu haina watoto wa Mjini. Mpira somtime ni mchezo unataka swagga za Kihuni ili utoboe ndio maaana Utto waliwarudisha lile genge la Mafia wao watatu.
Mbabaishaji YuleHakuna mtu mwenye jicho la wachezaji Kama kaburu, kipindi Chao ndio Simba ilianza kufanya vizuri kumbuka mpira ni pesa bila pesa kupata matokeo ni ngumu
Lakini kumbuka ubingwa mara ya mwisho kabla ya ukame tuliupata chini ya Rage ndipo walipoanza kuuza wachezaji wengi kwa mkupuo.Rage alikuja kuiharibu Simba, aliwauza sammata na Ochan dola laki tatu akamleta mchezaji anaitwa Rahabu Hamisi akadai alikuwa anamweka benchi Samatta mbagala market kumbe hamna kitu, akamuuza Kapombe Azam kujanja baada ya Kapombe kurudi ufaransa kumbuka ufaransa alienda kwa mkopo. Akawauza Redondo na kiungo mwingine jina limenitoka akadanganya wamepata timu Misti kumbe kawauza Azam ndio maana kaburu akaondoka. Alikuja kugombea pamoja na Aveva ndio tukaanza kumshikisha adabu utopolo kabla hawajakamatwa timu ilikuwa unaenda vizuri sana
Ofcourse scouting yaHakuna mtu mwenye jicho la wachezaji Kama kaburu, kipindi Chao ndio Simba ilianza kufanya vizuri kumbuka mpira ni pesa bila pesa kupata matokeo ni ngumu
Dah! Yaani mpaka watu wanahukumiwa vifungo kwa kununua nyasi bandia kwa ajili ya uwanja wao huko Bunju, leo hii uwanja wenyewe eti unaitwa Mo Arena!!
Bora hata ungeitwa HAssan Dalali Bunju Compex, ili kumuenzi huyu Mzee asiye na elimu ya darasani, lakini aliyekuwa na maono ya mbali kwa klabu yake ya simba ukilinganisha na huyu mdhamini wao janja janja.