S Sijapewa username bado JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 1,775 Reaction score 2,891 Jun 28, 2025 #1 Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) comrade Evance Emmanuel Kamenge amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Missenyi Kagera. Hatua hiyo inaashiria dhamira yake yakuchangia maendeleo kikamilifu kwa wana Missenyi kupitia uwakilishi Bungeni. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Mbali na taaluma yake ya uchumi ,Evance Kamenge pia ni Mfanyabishara na mdau mkubwa wa maendeleo katika jamii yake.
Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) comrade Evance Emmanuel Kamenge amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Missenyi Kagera. Hatua hiyo inaashiria dhamira yake yakuchangia maendeleo kikamilifu kwa wana Missenyi kupitia uwakilishi Bungeni. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Mbali na taaluma yake ya uchumi ,Evance Kamenge pia ni Mfanyabishara na mdau mkubwa wa maendeleo katika jamii yake.