Evans Bukuku Comedy show!

Evans Bukuku Comedy show!

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242
YouTube - ‪Evans Bukuku s Comedy Club (Michuzi Blog)‬‏




Sijawahi kuhudhulia show yake zaidi ya kuangalia kwenye mtandao, naweza kusema ni wazo zuri sana alilokuja nalo Evans kwa kuanzisha kitu hiki hapa Tanzania , ila kuna tatizo moja, nalo ni kwamba Lugha anayotumia inapoteza maana kabisa ya kile anachoongea, najiuliza kwanini asitumie lugha Mama ya kiswahili ikiwa walengwa ni watanzania?
 
Imenigomea kufunguka... will be back!
 
Naomba uitafute youtube homepage!
 
Back
Top Bottom