Sijawahi kuhudhulia show yake zaidi ya kuangalia kwenye mtandao, naweza kusema ni wazo zuri sana alilokuja nalo Evans kwa kuanzisha kitu hiki hapa Tanzania , ila kuna tatizo moja, nalo ni kwamba Lugha anayotumia inapoteza maana kabisa ya kile anachoongea, najiuliza kwanini asitumie lugha Mama ya kiswahili ikiwa walengwa ni watanzania?