Evans Bukuku: Nawashukuru Mashabiki Kuniwezesha Kununua....

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
BAADA YA AY KUONYESHA RANGE ROVER LAKE,BUKUKU NAYE ATAMKA MANENO HAYA.

Evan Bukuku ni Msanii wa Vichekesho vya Stand-up commedy akiwa na Kundi La VUVUZELA ENT.

"Kweli uchekeshaji si kazi ndogo jamani, kama mnavyoona sasa nna uwezo wakununua vitu vikubwa vitu vikali, namshukuru Mungu kwakunipa kipaji, washukuru wote mnaonipa support pia mpaka nimefikia hapa nilipo.

Nimenunua sandals mpya kabisa kutoka #msasanimall kama mnavyoona."


 

Attachments

  • Evan Bukuku.jpg
    52 KB · Views: 1,077
Umenunua sandals kwa waliomwagiwa tindikali,nlijua umempiku jide kwa envoque.
 
Safi, ngoja na mi nionyeshe POWER BANK yangu mpyaaaaaaaaaaaaa frm Znz
 
Kuna hiyo gari kaiegemea hapo du! gari mbichi kabisa hyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…