n00b JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 1,015 Reaction score 2,680 Nov 25, 2008 #1 Tarehe 8 December 2008 wasanii Fat Joe na EvE wanatarajiwa kutumbuiza katika onyesho kubwa na la aina yake lililoandaliwa na Str8 music. Wakati huohuo nasikia Likizo Tyme nao wanakuja na wasanii Boys II Men, Joe Thomas, Tante Metro & Devante na Tanya Stephans tarehe 5 Disemba 2008. Full shangwe!
Tarehe 8 December 2008 wasanii Fat Joe na EvE wanatarajiwa kutumbuiza katika onyesho kubwa na la aina yake lililoandaliwa na Str8 music. Wakati huohuo nasikia Likizo Tyme nao wanakuja na wasanii Boys II Men, Joe Thomas, Tante Metro & Devante na Tanya Stephans tarehe 5 Disemba 2008. Full shangwe!