Baada ya kucheza sana zile mechi za mchangani na imebidi dada yetu adake chochote kilicho mbele yake
Nilidhani hii no corner ya Celebrity. Kwa hiyo sijaelewa unachomaanisha. Katika vitu vyote duniani usiombee kunyimwa akili.
Niambie kosa nililolifanya kwa ku post hii habari hapa? Kama ulikuwa unaona haikufai si ungepotezea tu. Sasa unataka tu post kitu gani kuhusu celebrity? Definition ya celebrity ni nini? Naomba utumie reasoning. Unifahamu kwa hiyo don't make assumptions kwa kufikiri mi ni moja wa wapuuuzi wa humu ndani ambao unaweza kuwapandia kichwani kirahisi. Fuatilia michango yangu humu ndani ndo utaelewa kwamba mimi sio mpuuzi mwenzio. Katafute mpuuzi mwenzio tu upost umakuu wako hapa m-s--e-n-g-e mkubwaa wewe. Wacha nipigwe ban tu M-b-w-a wewe. Unakazwaa.Hiyo akili ndiyo inayonifanya nikushange wewe na upuuzi wako. Je, wewe umenyimwa?
Niambie kosa nililolifanya kwa ku post hii habari hapa? Kama ulikuwa unaona haikufai si ungepotezea tu. Sasa unataka tu post kitu gani kuhusu celebrity? Definition ya celebrity ni nini? Naomba utumie reasoning. Unifahamu kwa hiyo don't make assumptions kwa kufikiri mi ni moja wa wapuuuzi wa humu ndani ambao unaweza kuwapandia kichwani kirahisi. Fuatilia michango yangu humu ndani ndo utaelewa kwamba mimi sio mpuuzi mwenzio. Katafute mpuuzi mwenzio tu upost umakuu wako hapa m-s--e-n-g-e mkubwaa wewe. Wacha nipigwe ban tu M-b-w-a wewe. Unakazwaa.
watu tunachangia mambo muhimu wewe unatuletea ujinga wa kina Eve....who the hell cares? Mpigie simu basi mwambie akualike. Unashabikia vitu visivyo kuhusu na kupost hapa.....tunataka michango iliyokwenda shule siyo kulazimisha kupaste habari za kipuuzi, jiulize mambo ya Eve aolewe asiolewe wewe au sie wana JF yanatuhusu nini? Please rudi shule. Na kama kupigwa ban inabidi watu wenye michango finyu dizaini ya wewe kufutwa kabisa humu.