Aisee...!!Dah ananipa shida sana huyu mrembo?
Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.
Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
Akija atatupa kisa cha yeye kusekwa ndaniBila shaka ila ndo hivyo tumwombee uzima, Binafsi nimemiss sana[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo nyota mamy!Wengine hata tukipotea hatujulikani hamna wa kutuulizia[emoji848][emoji848]
ngoja nkaogeee maji ya bahari sasa😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo nyota mamy!
Jifanye umepotea nikuulizie mpendwa.
Money yupo na I'd ya bonge mzuriPia mwenzake Money Penny!
Money Penny kwa ban daaah. ingawa amekuja na ID mpya somebody Kibonge nini sijui.Pia mwenzake Money Penny!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]eti secretary wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] kawatumia salamu
Na miguu yako yenye machacha huwezi kutakata hata iweje[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nkaogeee maji ya bahari sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitukane
Siwezi kutukana. Kweli tena yaani hata sikumbuki kama nimewahi tukana mtu.Nitukane