S Sina pa kwenda Senior Member Joined Nov 18, 2010 Posts 113 Reaction score 15 Jul 6, 2012 #1 Hivi jamani kwani TCU walikuwa na ulazima wa kuwasajili pia watu wanaosoma evening?
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,045 Reaction score 5,108 Jul 6, 2012 #2 why not? Ukijua definition ya TCU utajiona ulivyo
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,540 Jul 6, 2012 #3 Sina pa kwenda said: Hivi jamani kwani TCU walikuwa na ulazima wa kuwasajili pia watu wanaosoma evening? Click to expand... Kweli huna pa kwenda!
Sina pa kwenda said: Hivi jamani kwani TCU walikuwa na ulazima wa kuwasajili pia watu wanaosoma evening? Click to expand... Kweli huna pa kwenda!
AMARIDONG JF-Expert Member Joined Jun 24, 2010 Posts 2,501 Reaction score 185 Jul 6, 2012 #4 Kwani evening hawasomi au??akili ndogo hiyo acha kutumia masaburi na historia za kwenye kahawa kwa mawazo yako nyie wa asubuhi ndio mnasoma wa jioni wanafanya kazi eeh???sote tunasoma tena somtime wa jioni wanapigika ile mbaya,magamba wewe
Kwani evening hawasomi au??akili ndogo hiyo acha kutumia masaburi na historia za kwenye kahawa kwa mawazo yako nyie wa asubuhi ndio mnasoma wa jioni wanafanya kazi eeh???sote tunasoma tena somtime wa jioni wanapigika ile mbaya,magamba wewe