Evening Tea and Snacks (Chai ya Jioni na Vitafunwa)

Evening Tea and Snacks (Chai ya Jioni na Vitafunwa)

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
9,636
Reaction score
11,483
Habarii zenu,

Okay so leo naomba tushee vitu tunavyokula ule muda baada ya lunch na kabla ya chakula cha jioni...almaaruf evening tea/ snack
Huwa unatumia nini?

Kwa upande wangu leo ntatumia; French Baguete/ french bread and cheese toast na pickled cucumbers...karibuni
 
6BEF890A-BB9C-4BDA-B9C1-F2004205F075.jpeg
 
Back
Top Bottom