Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
jamani natafuta events planner,kama yumo humu ndani aniPM tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mPM klorokwin,la kama yuko bize basi Aspirin,wote wamebobea kwenye tasnia hiyo,tena Aspirin baada ya kumwoa Kongosho wamedabo maujuzi ila kwa leo Kongosho yuko guanzhou kenda kununua meza na viti.
mPM klorokwin,la kama yuko bize basi Aspirin,wote wamebobea kwenye tasnia hiyo,tena Aspirin baada ya kumwoa Kongosho wamedabo maujuzi ila kwa leo Kongosho yuko guanzhou kenda kununua meza na viti.
jamani natafuta events planner,kama yumo humu ndani aniPM tafadhali.
mkuu,event yako itakuwa mji gani?kama Arusha nipigie 0754348782/0715348782
mPM klorokwin,la kama yuko bize basi Aspirin,wote wamebobea kwenye tasnia hiyo,tena Aspirin baada ya kumwoa Kongosho wamedabo maujuzi ila kwa leo Kongosho yuko guanzhou kenda kununua meza na viti.
mPM klorokwin,la kama yuko bize basi Aspirin,wote wamebobea kwenye tasnia hiyo,tena Aspirin baada ya kumwoa Kongosho wamedabo maujuzi ila kwa leo Kongosho yuko guanzhou kenda kununua meza na viti.
mi nnavyojua kongosho mtaalamu wa kuandaa kitchen party, sasa bishanga usije mpoteza mwenzio na event yake..
sasa hivi naandaa na kibao kata, kucheza mwali
Itakua dar mkuu.