Toa viazi chelsea hapo,maana hilo ni kundi la vyura wa huku Tandale kwa tumboKwani Mara ya mwisho kuiona arsenal inagombea ubingwa wa ligi kuu tu ni lini? mpaka utoke povu kiasi hicho team ambazo naziona zinanjaa ya makombe pale EPL ni tatu tu Liverpool,man city na Chelsea.
Hana anachokijua huyo,kipindi Ancelloti anafukuzwa na timu anakabidhiwa Zidane hajaleta uzi hapa.....Mbona huongelei Napoli waliomfukuza Ancelloti wakamchukua Gattusso, Kama hujui mpira si bora usifungue uzi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Komenti ya kipimbi mwandiko wa kipimbi na alieandika hapa pimbi kabisa... Huyu matraako nae anajiona et anataka kuchambua Mpira na kutoa maoni yake!!!Kwani Mara ya mwisho kuiona arsenal inagombea ubingwa wa ligi kuu tu ni lini? mpaka utoke povu kiasi hicho team ambazo naziona zinanjaa ya makombe pale EPL ni tatu tu Liverpool,man city na Chelsea.
Niitoe Chelsea kivp?Toa viazi chelsea hapo,maana hilo ni kundi la vyura wa huku Tandale kwa tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kijana umetoa povu si la nchi hii kwani nimekukosea?Komenti ya kipimbi mwandiko wa kipimbi na alieandika hapa pimbi kabisa... Huyu matraako nae anajiona et anataka kuchambua Mpira na kutoa maoni yake!!!
Typed Using KIDOLE
Wao pia wanaelekea huko. Angalia chelsea na lampard angalia man na sasa ni arsenalMbona huongelei Napoli waliomfukuza Ancelloti wakamchukua Gattusso, Kama hujui mpira si bora usifungue uzi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madeid mkuu huwezi fananisha na arsenal. Madrid hat bila kocha inachezaHana anachokijua huyo,kipindi Ancelloti anafukuzwa na timu anakabidhiwa Zidane hajaleta uzi hapa.....
Au Zidane alikuwa ni kocha wa timu gani kipindi wanampa timu????
Kila unachofanya ni Gambling....
Sex
Kula
Kulala
Kutembea
Vyote ni gambling
Hahahaaaaaaaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mara ya mwisho kuiona arsenal inagombea ubingwa wa ligi kuu tu ni lini? mpaka utoke povu kiasi hicho team ambazo naziona zinanjaa ya makombe pale EPL ni tatu tu Liverpool,man city na Chelsea.
Aiseeeh.....sasa kwanini wanahaha kutafuta kocha,si wacheze wenyeweMadeid mkuu huwezi fananisha na arsenal. Madrid hat bila kocha inacheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal imebaki history tu lakini Haina character ya team kubwa