Everton, West Ham na Burnley zamgombania Mbwana Samatta

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Klabu za ligi kuu ya England Everton, West Ham,Burnley na brighton zinamtaka staika wa Genk. Magazeti ya England standard London na mirror wameripoti habari hizo.
Samatta amekuwa kwenye kiwango kizuri msimu huu akifunga magoli 14

West Ham and Everton reportedly tracking 14-goal Genk hotshot after stunning start to the season
According to our friends at The Mirror (via
HITC ), the club are believed to be tracking Genk striker Mbwana Samatta.
The Tanzanian international has caught the eye in Belgium this season and has so far scored 14 goals in 16 games for his side, with six of those coming in Europa League qualifying.
As well as interest from West Ham, Everton, Burnley and Brighton & Hove Albion are also said to be keeping tabs on the in-form forward.
 
Kama akiendelea kuwa consistency mpaka mwisho was msimu nadhani atapata timu nzuri zaidi ligi la ujerumani au spain
Germany awezi kuleshuguli pevu..unatafuta MPIRA UK ukijipanga MBELE ukosi magoli ya maana nimjuavyo NDOGO..German unatafuta MPIRA unaenda naombelee
 
kwa ligi y uingereza n umri wake ataend kupotea kul mapem.. makocha wengi EPL hawajui ku improve wachzaje hasa wa vilabu vy kaliba y everton ,wengi wanatka mchezaji aliekamilika zaidi so kw mbwana ni bora akaanzia germany ama spain nd badae aend uingereza.
 
Bora aende England ..atavuna mpunga wa maana kuliko Germany or Spain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…