low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,323
- 1,496
Ttz umri unaenda asipofanya maamuz sahihi anaweza akakos thamani apo badae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Richalison sio natural striker. Ni winger wa kushoto. Winger ya kulia walcott, namba 10 sigurdsso. Game ya juzi alianza kama false 9 sababu ya poor form ya cenk tosun na forwards wa everton kwa ujumla. Natural strikers wa everton sahivi ni tosun, oumar niasse na dominic calvert lewin. Wote wa kawaida sana
Hivi Mbwana Samatta bado ni kinda ?Kwa kuweka kumbukumbu sawa, Everton ni timu ambayo iliwaamini na kuwapa nafasi makinda kibao, na mpaka sasa wanatesa au walitesa vilivyo;
1. Wayne Rooney.. Alitoka Everton akaenda kusumbua Man U.
2. Lukaku.. Alitoka Everton akaenda kufanya yake Man U.
3. John Stones.. Alitoka Everton sasa anasumbua Man City
4. Ross Barkley.. Alitoka Everton sasa anasumbua Chelsea ya mvuta fegi Sarri.
5. Joe Hart.. Alitoka Everton akaenda tesa sana Man City
6. Garry Cahill.. Alitoka Everton akaenda wika vilivyo Chelsea
.
.
.
Kwa kifupi Mkuu list ni ndefu sana.. Ila naamini anayefuata ni;
.
.
59. Mbwana Samatta 'Former Simba SC player'.. Alienda Everton akawika sana na sasa anamuweka benchi Benzema hapa Real Madrid.
Shukrani sana mkuu. Yote ni kwa sababu ya Epl Fantasy. Mtu unajikuta unacheki games hata za timu ndogo ili kufanya scouting ya wachezajiHongera mkuu, nimekupa respect kwa kufatilia mpira
NdioHivi Mbwana Samatta bado ni kinda ?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15]Ndio
Sidhani...Muanźisha ule uzi sasa hìivi anaomba dua tu hili deal lisitimie
Ni nani huyo?Yule jamaa sasa hivi anapiga ramli habari mbaya sana hii kwake[emoji2] [emoji2]
Huyo jamaa n wale shabiki mnazBundesliga hawatumii nguvu nyingi Kama EPL mkuu, samatta anafit vizuri laliga na bundesliga kuliko EPL
Yani hapo kuna kitu anataka kusema ila anaanzia mbali ili asionekane hater. Nina uzoefu na hawa watu.Ndio
Tulia basi uandike vitu vinavyoelewekaGermany awezi kuleshuguli pevu..unatafuta MPIRA UK ukijipanga MBELE ukosi magoli ya maana nimjuavyo NDOGO..German unatafuta MPIRA unaenda naombelee
Kuna clause zinakuwa ktk mikataba ya wachezaji, parent timu ya awali hufaidika na uuzwaji wa mchezaji. Sio Simba tu. Mazembe wana shea yao, kwa simba yaweza kuwa ndogo ila si haba.
Watakaofaidika zaidi ni kile kituo kilichomlea cha Kimbangulile mbagalaInakuwaje hiyo yani Genk wamuuze, halafu simba wapate mgao sio tp mazembe?
Wakimchukua basi watakuwa wanekula big lossKlabu za ligi kuu ya England Everton, West Ham,Burnley na brighton zinamtaka staika wa Genk. Magazeti ya England standard London na mirror wameripoti habari hizo.
Samatta amekuwa kwenye kiwango kizuri msimu huu akifunga magoli 14
West Ham and Everton reportedly tracking 14-goal Genk hotshot after stunning start to the season
According to our friends at The Mirror (via
HITC ), the club are believed to be tracking Genk striker Mbwana Samatta.
The Tanzanian international has caught the eye in Belgium this season and has so far scored 14 goals in 16 games for his side, with six of those coming in Europa League qualifying.
As well as interest from West Ham, Everton, Burnley and Brighton & Hove Albion are also said to be keeping tabs on the in-form forward.
VP kuhusu Victor wanyama!Nasikia kule England ukiwa unatoka katka nchi ambayo viwango vya ubora vya FIFA ni vya mwisho mfano tz basi huwezi sajiliwa Kule sasa hii wadau imekaaje Kama hii habari ni ya Kweli?
Yeye kaisha chezea club toka Ulaya kwake itakuwa rahisi mno.Nasikia kule England ukiwa unatoka katka nchi ambayo viwango vya ubora vya FIFA ni vya mwisho mfano tz basi huwezi sajiliwa Kule sasa hii wadau imekaaje Kama hii habari ni ya Kweli?