Elections 2010 Every vote counts!! Kuweka waangalizi vituo vyote vya uchaguzi

MWEEN

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2010
Posts
482
Reaction score
207
Wakuu,

Naomba kutoa hoja kwa vyama vya upinzani. Kuna majimbo mengi ambayo upinzania haukuweza kuweka mgombea, kuanzia ngazi ya udiwani, na ubunge. Hasa kwenye majimbo ambayo wamesema wamepita bila kupingwa.

Kuna uwezekano mkubwa watu wengi wakamchagua mgombea wa upinzani wa uraisi, na hapa ndipo upinzani hautakuwa na wasimamizi. Pia ni wazi kuwa vyama vitaangalia zaidi kwenye vituo walivyoweka wagombea, na kusahau kule wasikokuwa na wagombea.

CHADEMA, CUF, etc. Kuna mkakati gani wa kutuma waangalizi kwenye vituo hivyo??? Every vote count!!!
 
Kichwa chako cha habari kiliashiria unao mkakati kumbe nawe umeghafilika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Vituo vya kupiga kura ni zaidi ya 52, 0000 mengine ni Mwenyezi Mungu tu ndiye atakayetusaidia
 
 
kINACHOTAKIWA NI KUWEKA WAKALA HATA KAMA NO MBUNGE NA DIWANI BASI ATALINDA KURA ZA RAIS NI MUHIMU SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…