February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Tunaheshimu mawazo yako mkuu ila najua sio msimamo wa watazamaji. Asante kwa kutujuza[emoji1666].Shanghai!
Wakati 2022 inaenda kubaki kwenye vitabu vya historia, tujikumbushe movie za huu mwaka
Kumekuwa na movie nzuri kama woman king, Black panther, RRR, Top gun Maverick, batman, avatar nk.
Lakinia hakuna iliyoikaribia hata kwa mbali Everything everywhere all at once.
Cinematography[emoji108]
Story[emoji108]
Editing[emoji108]
Acting[emoji108]
Crying moments[emoji108]
funny moments[emoji108]
New idea movie[emoji108]
Huu sio mtizamo...hiyo ndio realityTunaheshimu mawazo yako mkuu ila najua sio msimamo wa watazamaji. Asante kwa kutujuza[emoji1666].
zote ulizotaja hazipo hata kwenye oscarsTop gun maverick then Avatar nimeshamaliza..ila hiyo movie ngoja niishushe niicheki katika utulivu..but so far TOP GUN MAVERICK is the next level