Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,678 Reaction score 5,166 May 25, 2025 #1 It is just series from the book of Regime(Government) kwa vyovyote ni propaganda za kuondoa watu attention zao. Watu wanapika Movies then we pay to watch it.
It is just series from the book of Regime(Government) kwa vyovyote ni propaganda za kuondoa watu attention zao. Watu wanapika Movies then we pay to watch it.
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,678 Reaction score 5,166 May 25, 2025 Thread starter #2 K11 said: Watajua wenyewe, kikubwa tuishi kwa kutenda mema huku tukipendana sote na kuweka kando matendo maovu kama vile kutekana, kuuana, kubambikiana kesi, kulogana, ufisadi, kuiba n.k. Click to expand... Kinachotusumbua ni Ubinafsi,je inawezekana kujivua hii tabia?
K11 said: Watajua wenyewe, kikubwa tuishi kwa kutenda mema huku tukipendana sote na kuweka kando matendo maovu kama vile kutekana, kuuana, kubambikiana kesi, kulogana, ufisadi, kuiba n.k. Click to expand... Kinachotusumbua ni Ubinafsi,je inawezekana kujivua hii tabia?
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 4,216 Reaction score 13,608 May 25, 2025 #3 Mhafidhina07 said: Kinachotusumbua ni Ubinafsi,je inawezekana kujivua hii tabia? Click to expand... Kwa sasa bado, tumejaa tamaa ya mali na ulafi wa madaraka
Mhafidhina07 said: Kinachotusumbua ni Ubinafsi,je inawezekana kujivua hii tabia? Click to expand... Kwa sasa bado, tumejaa tamaa ya mali na ulafi wa madaraka