Wadau harufu ya kwapa inayozungumziwa hapa si ile uwapo kwenye dala dala au kwenye kazi nzito au umekurupushwa huko kwa hiyo una sweat kwa uoga au vipi, hii harufu huwa inatoka pale ambapo kuna uelekeo wa mapenzi, mathalani mpo wawili wewe na mpenzi wako, mnazungumza mambo ya mapenzi kuna harufu flani ya kwapa huwa inatoka, ile huwa special, au enzi zile za kusotea mademu miaka ya themanini na kurudi nyuma na miaka ya mwanzo ya tisini kabla TV na Simu hazijaingia sisi wataaluma wa kutongoza enzii hizo simu hakuna demu lazima umfuate live na hawakuwa rahisi km siku hizi unaweza sotea demu mienzi hata minne, hakuna gesti km these days so mnapokuwa wawili unamuimbisha demu km she is interested in you hakika utakisikia ki harufu flani cha kikwapa kwamba demu ana hisia flani na wewe but hawezi kukuambia fanya hivi au vile wewe mwenyewe utajua tuuu, kwamba hapa demu ana mzuka, Point yangu ni kwamba jasho lile linapatikana kt wakati maalum na mtu maalum na sio la uchafu hata ukasugua kwapa kwa mashine na kumwagia pipa la deodorant still ile scent itakuja tuuu