Evolution: Kunuka Kwapa ufuto wa mapenzi


Mkuu unaelewa binadamu tulivyotafautiana siku moja nilipigwa nabubuwazi nilipo ona programu moja ya watu weupe (mizungu)wakijadiliana mambo ya harufu ikatokea mmoja wao akasema yeye binafsi humuomba pata wake awe katika hali ya harufu harufu ya shombo la sihivyo huwa si mwenye furaha na tendo nilipatwa na butwaa .
 
Hii nimeona kwenye National Geographic Channel "Popular Science" wanasema kuwa sisi binadamu tuna toa scent ambazo zinaashiria kujamiiana, Halafu pia inasemekana pia kuna uwezekana wa kujua mpenzi wako kwa kum-nusa, yaani ile harufu ikupendezayo "sio perfume/cologne" ndio yako.

Google hizi information unaweza ukabahatika,

B.
 
Pamoja na yote hayo kuna harufu fulani inakuwepo baada tu ya ngono. Hii ni harufu ambayo hata ukiwakuta wawili wamemaliza tendo unajua fika kuwa tayari kimefanyika kitu. Je hili mmeli note?
 

Kwa hiyo huyu jamaa akienda kwenye soko la samaki, tayari anapandisha midadi.
 
Why? Do you like it? Lol

Lol. Nilizusha tu hii story. Lakini data zinazotolewa humu ndani nimeanza kuamini story yangu na hata harufu mbaya nimeanza kuipenda.
 
Aisee unajua kumbe ninakosa mambo mazuri hii jukwaa sijawahi kulitembelea kila siku nashinda jukwaa la siasa.nimepata darasa zuri.
 
...Fetish!

huko ulaya wengine mpaka wachapwe mikwaju ndio wanasisimka...

Nasikia kule maeneo/mikoa ya bonde la ufa ('karibu na mto wa Mbu') kuna kabila wanawake wa huko mpaka wafukuzane kama kuku ndio wanasisimkwa!

...au ule mkoa unaotoa askari jeshi wengi, ...bila kukung'utwa makofi mke anajiona hajatendewa haki yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…