Evolution?


Darwin, darwin darwin, mhh mhm hmh.

Unatia aibu kweli kweli. Hivi hamna vitabu vya Ki-racist ukasoma na kuachana na Biblia yetu.

Hapo ndipo watu watajua kuwa Mungu yupo.

Wewe kweli unachemsha.

Utajuaje kwamba biblia sio kitabu cha ukweli kama hujakisoma?
Utasemaje sera za Chadema ni mbaya kama hujazijua?
Utajaji vipi korani kama hujawahi kuisoma?

Kwa maana hio umeng'ang'ania kwamba Mungu yupo kwa vile umesoma Biblia tu na vitabu vingine hujavijua kaazi kweli kweli
 


Ukimuuliza au mwambie alete ushaidi, anaanza habari za popobawa wa kwao Unguja na Pemba. Kumbe jamaa alishughulikiwa na Mapopobawa.


Labda nikukumbushe:
Soma kwanza post zangu za mwanzo:

NILISEMA MWANZO KWAMBA KUSEMA KWAMBA MUNGU YUPO NI SAWA KUAMINI HADITHI ZA POPOBAWA BILA KUWA NA USHAHIDI WOWOTE


Kama hujaelewa maana yakutumie neno popobawa kwenye post zangu basi kazi ipo.
 

Nilifikiri nabishana na mtu anayejua kumbe huna unalojua lolote.

Ten commandment zimetoka kwenye torah ya Moses, ndio mwanzo wenu nyie watu wa dini.

Akaja mnayemuita Jesus, akaulizwa je Umekuja kuzibadili amri kumi za Mungu?

Jesus kama kitabu chenu kinavyosema alijibu: SIKUJA KUIBADILI TORAH BALI KUIKARABATI NA KUIKAMILISHA.


Kwa maana hio na yeye alifuata 'Torah
'

Kitendawili kinakuja basi;

Alphabet zilizotumika kuandika amri kumi za Mungu zilikuja karne na karne baada ya uhai wa Moses!.

Swali nakuuliza itakuaje mpokeaji wa amri kumi za mungu keshakufa tayari ndio amri zikaja?

Najua unasema unaijua biblia Nijibu ilikuaje?


Kama huna jibu la hili swali nikwamba Torah na biblia vyote ni hadithi za POPOBAWA tu ambazo hazina ukweli


Na kama biblia na Torah zilikua ni hadithi tu basi hata munayemuita Mungu ni hadithi pia.

Nakushauri usome biblia yako
 

This was my first post about so called Popobawa, you can find it at page 8.
 


Leo umesema ukweli kwamba upo hapa kubishana. Ndio maana umeshindwa kujibu swali langu kwa zaidi ya wiki tano.

 


Kumbe darwin yupo hapa kubishana. Mbishi kama shabiki wa Yanga.

 
For those still demanding Proof. Go to the site there are some pictures I couldn't copy.

Link:PROOF #1 CLICK HERE


Continues on site, follow the link.!!!!!

Eagerly awaiting your responses!!!

In the name of the TeaCup.
 


Jamaa kakimbia.

 

Jamaa kakimbia.


Nikimbie watu ambao hata hawajui wanachosema?

Sentensi ya kiswahili imekushinda kuelewa uje kuelewa kiingereza?

Nimekushauri pia kwamba kwanini husomi vizuri hicho kitabu chako unachoaamini? AMBACHO KILIKUJA BAADA YA MPOKEAJI KUFA KWA KARNE

Once again: Kuamini kwamba Mungu yupo ni sawa kuaminini kwamba kuna Popobawa ambazo ni habari za uzushi

Kama akili yako inaamini kwamba Popobawa yupo basi utaamini pia kwamba kuna Mungu.
 

Leo umesema ukweli kwamba upo hapa kubishana. Ndio maana umeshindwa kujibu swali langu kwa zaidi ya wiki tano.



Na kama biblia na Torah zilikua ni hadithi tu basi hata munayemuita Mungu ni hadithi pia.

Haiwezi amri za Mungu zikaja baada ya aliyezipokea keshakufa tayari.

Kama hujapata jibu hapo basi kazi ipo! tena sana
 
Na kama biblia na Torah zilikua ni hadithi tu basi hata munayemuita Mungu ni hadithi pia.

Haiwezi amri za Mungu zikaja baada ya aliyezipokea keshakufa tayari.

Kama hujapata jibu hapo basi kazi ipo! tena sana



Poor thinking, reasoning, and understanding is your problem.

Still you have failed to answer my question, "PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST"


 


Poor thinking, reasoning, and understanding is your problem.

Still you have failed to answer my question, "PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST"



When the chazzer went up that mountain, some thirteen centuries BC, there even did not even exist a Hebrew alphabet.


What's even more fun:
tradition wants that the torah was given to the jews by moses – a mere human you so despise as sourse of knowledge, no god. But what did they believe all those centuries before that happened, ignorant of genesis, exodus, leviticus, numbers and deuteronomy? And even then, they could impossibly believe all of the OT bible which was still future.


Max hata kitabu unachokitetea hukijui kimetoka wapi?
 



I am not talking about ten commandment here, I NEED MY ANSWER THAT GOD DOES NOT EXIST AS YOU PROMISSED TWO WEEKS AGO THAT YOU HAVE IT.

If you want an answer for your question, I have started a thread of ten commandment "jukwa la dini" go there post it, I will give exhibits and prove to you that you are just having defacto wishful thoughts.

I hate mixing themes.
 

Max hio bible yako haina amri kumi za Mungu?

Amri kumi za Mungu si ndio mlipoanzia ninyi watu wa dini?

Moses na mnayemuita Jesus wa kwanza ni nani?

Aliyepewa amri kumi na mnayemuita mungu alikua Jesus au ni Moses?

Hivi unaijua hata historia ya bible?
 



If you want an answer for your question, I have started a thread of ten commandment "jukwa la dini" go there post it, I will give exhibits and prove to you that you are just having defacto wishful thoughts.

I hate mixing themes.


 


If you want an answer for your question, I have started a thread of ten commandment "jukwa la dini" go there post it, I will give exhibits and prove to you that you are just having defacto wishful thoughts.

I hate mixing themes.


Unfotunetly JUKWAA LA DINI is private!!!

Umepost wapi mbona sioni?

Na kwanini usipost hapa tukajua ukweli na uongo?
 

Swali kwa wana evolution:

How could the eye, with its many intricate, interacting structures, have evolved through a random process.

I need only watertight exhibits and must be verifiable.

 

Blood Clotting: A Biological Miracle
One relatively simple process necessary for animal life is the ability for blood to clot to seal a wound and prevent an injured animal (or person) from bleeding to death. Yet the only way this intricate system works is when many complicated chemical substances interact. If only one ingredient is missing or doesn't function in the right way—as in the genetic blood disorder hemophilia—the process fails, and the victim bleeds to death.

How can complex substances appear at just the right time in the right proportions and mix properly to clot blood and prevent death? Either they function flawlessly or clotting doesn't work at all.

At the same time, medical science is aware of clotting at the wrong time. Blood clots that cut off the flow of oxygen to the brain are a leading cause of strokes and often result in paralysis or death. When blood clots, either everything works perfectly or the likely outcome is death.

For evolution to have led to this astounding phenomenon, multiple mutations of just the right kind had to converge simultaneously or the mutations would be useless. Evolutionists can offer no realistic explanation of how this is possible.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…