Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 18, 2010 #1 Inawezekana au tunadanganywa?
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Nov 18, 2010 #2 only for budhists
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Nov 18, 2010 #3 Inawezekana mkuu!!
J Jamco_Za JF-Expert Member Joined Jul 14, 2007 Posts 1,329 Reaction score 196 Nov 18, 2010 #4 Inawezekana kwani hamjaona watu wenye oesity wananvyokuwa!
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Nov 18, 2010 #5 Utingo said: only for budhists Click to expand... Excuse me!!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 18, 2010 Thread starter #6 Jamco_Za said: Inawezekana kwani hamjaona watu wenye oesity wananvyokuwa! Click to expand... Ahahahaaaaaaaah kwa hiyo wenye Obesity ndio wako likely kuelekea huko?
Jamco_Za said: Inawezekana kwani hamjaona watu wenye oesity wananvyokuwa! Click to expand... Ahahahaaaaaaaah kwa hiyo wenye Obesity ndio wako likely kuelekea huko?
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Nov 19, 2010 #7 duuhh hii hatari tumetoka kwa nyani tunaenda kwa nguruwe......... i can smell danger......
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 19, 2010 Thread starter #8 afrodenzi said: duuhh hii hatari tumetoka kwa nyani tunaenda kwa nguruwe......... i can smell danger...... Click to expand... ahahaaah hatari ipo wapi?
afrodenzi said: duuhh hii hatari tumetoka kwa nyani tunaenda kwa nguruwe......... i can smell danger...... Click to expand... ahahaaah hatari ipo wapi?
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Nov 19, 2010 #9 mmmmmhhhhh mweheshimiwa ni hatari kuwa nguruwe....... kila upande kila mtu anakuchukia.... hata wanao kupenda watakuu tu...... hiyo ndo hatari mkuu..... (borea nyani) mtu akimgusa nyani kuna Animal control Unity wanakusubiria......
mmmmmhhhhh mweheshimiwa ni hatari kuwa nguruwe....... kila upande kila mtu anakuchukia.... hata wanao kupenda watakuu tu...... hiyo ndo hatari mkuu..... (borea nyani) mtu akimgusa nyani kuna Animal control Unity wanakusubiria......
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Nov 19, 2010 #10 Nafikiria kutokula tena kmoto!
pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 Nov 19, 2010 #11 Uzuri wake mabadiliko ya evolution huchukua karne nyingi. Kwa hiyo sisi na wajukuu zetu wote hatutakuwapo enzi za binadamu - kiti moto.
Uzuri wake mabadiliko ya evolution huchukua karne nyingi. Kwa hiyo sisi na wajukuu zetu wote hatutakuwapo enzi za binadamu - kiti moto.
Zakumi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2008 Posts 5,063 Reaction score 2,478 Nov 19, 2010 #12 Nilifikiri jamaa wamejipanga ili waruke ukuta wa kiti moto.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 19, 2010 Thread starter #13 Raia Fulani said: Nafikiria kutokula tena kmoto! Click to expand... Ahahahahaaaaaah raia fulani vipi, sasa ndio muda muafaka wa kukikandamiza kwa sana kabla evolution haijatufikia!
Raia Fulani said: Nafikiria kutokula tena kmoto! Click to expand... Ahahahahaaaaaah raia fulani vipi, sasa ndio muda muafaka wa kukikandamiza kwa sana kabla evolution haijatufikia!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 19, 2010 Thread starter #14 pmwasyoke said: Uzuri wake mabadiliko ya evolution huchukua karne nyingi. Kwa hiyo sisi na wajukuu zetu wote hatutakuwapo enzi za binadamu - kiti moto. Click to expand... Kweli kabisa huenda hata ikatokea mwaka 3000, sijui ni kizazi cha ngapi toka sasa.
pmwasyoke said: Uzuri wake mabadiliko ya evolution huchukua karne nyingi. Kwa hiyo sisi na wajukuu zetu wote hatutakuwapo enzi za binadamu - kiti moto. Click to expand... Kweli kabisa huenda hata ikatokea mwaka 3000, sijui ni kizazi cha ngapi toka sasa.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 19, 2010 Thread starter #15 Zakumi said: Nilifikiri jamaa wamejipanga ili waruke ukuta wa kiti moto. Click to expand... :doh::doh::doh:
Zakumi said: Nilifikiri jamaa wamejipanga ili waruke ukuta wa kiti moto. Click to expand... :doh::doh::doh:
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Nov 19, 2010 #16 Katavi said: Ahahahahaaaaaah raia fulani vipi, sasa ndio muda muafaka wa kukikandamiza kwa sana kabla evolution haijatufikia! Click to expand... umenena. Nabadili nia
Katavi said: Ahahahahaaaaaah raia fulani vipi, sasa ndio muda muafaka wa kukikandamiza kwa sana kabla evolution haijatufikia! Click to expand... umenena. Nabadili nia
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 19, 2010 Thread starter #17 Raia Fulani said: umenena. Nabadili nia Click to expand... :clap2: :clap2:
Zakumi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2008 Posts 5,063 Reaction score 2,478 Nov 19, 2010 #18 Katavi said: :doh::doh::doh: Click to expand... Unashangaa nini, angalia picha na utaona kuwa jamaa wamepanga foleni kumpiga mande kitimoto.
Katavi said: :doh::doh::doh: Click to expand... Unashangaa nini, angalia picha na utaona kuwa jamaa wamepanga foleni kumpiga mande kitimoto.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Nov 20, 2010 Thread starter #19 Zakumi said: Unashangaa nini, angalia picha na utaona kuwa jamaa wamepanga foleni kumpiga mande kitimoto. Click to expand... Ahahahaaaah inawezekana maana watu wengine siku hizi hadi wanyama wanawanyegelesha!
Zakumi said: Unashangaa nini, angalia picha na utaona kuwa jamaa wamepanga foleni kumpiga mande kitimoto. Click to expand... Ahahahaaaah inawezekana maana watu wengine siku hizi hadi wanyama wanawanyegelesha!