Ewaaaa, kweli hujafa hujaumbika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
4,282
Reaction score
797
Habarini wapendwa, ni masiku tele yamepita bila kuonana/kusalimiana!habari lenu bana!
Nimerudi tena jamvini!Nilikuwa kwenye mafunzo ya jando, kule kwetu kwenye sato wengi!

Tuendeleze soga kama kawa wapendwa!nijuzeni kimejiri nini humu ndani ya jamvi toka nimeondoka??????????
 

Hivi kumbe uliondoka? Uliondoka lini sasa?
 

Karibu sana
Naona watakukoma sasa maana umefundwa ukafundika
 
Hivi kumbe uliondoka? Uliondoka lini sasa?

uchaguzi kaka, ulinificha mbali sana Tanzania hii!nimejitahidi kuwabana wasichakachue kura lakini ndo kama hivyo tena!!!!!
 
Karibu sana
Naona watakukoma sasa maana umefundwa ukafundika

Ni kweli kimbweka, tena kama hao wahaya unaowazimia ndo ningependa kuanza nao!!starehe yao naikubali.
 
uchaguzi kaka, ulinificha mbali sana tanzania hii!nimejitahidi kuwabana wasichakachue kura lakini ndo kama hivyo tena!!!!!

ulinunuliwa? Vijana wapiganaji wa kura walikua kawe mkuu!
 
hivi wewe ni she au he? nimesahau, ze finest, unaweza kutukumbusha?
 
ulinunuliwa? Vijana wapiganaji wa kura walikua kawe mkuu!

Nimeipenda hiyo kaka!kweli vijana wa kawe mmeonyesha mfano wa kuigwa!nadhani kule kwetu nguvu yetu ilikuwa ndogo, tulizidiwa na wachakachuaji!
 
hivi wewe ni she au he? nimesahau, ze finest, unaweza kutukumbusha?

du, big tayari umekwishaanza kuchakachua jinsia!nadhani Finest atakujibu, usihofu
 
nimeipenda hiyo kaka!kweli vijana wa kawe mmeonyesha mfano wa kuigwa!nadhani kule kwetu nguvu yetu ilikuwa ndogo, tulizidiwa na wachakachuaji!

mlinunuliwa na rostam
 

Tatizo uliondoka bila kuaga ila kurudi ndo unasema. Usirudie tena mambo kibao tu humu. Welcome back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…