Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Ewe Binti ,mdada na wanawake wengine wenye tabia za kutembea na waume za watu soma hapa chini Kwa umakini
📌. Kujiwekea uadui na watu wanaochukia wanawake wenye tabia hizo.
📌. Kutumika kama chombo cha starehe. Naimani unajua chombo Cha starehe kinavyotumiwa vibaya,haoni aibu kukwambia My kama kweli unanipenda naomba unipe nyuma ili niamini upendo wangu kwako,haoni Shida kukuharibu Kwasabbu yupo kwako kustarehe siku akimaliza anakuacha na Shida zako....ww hujiulizi kwanini hamtendei mke wake?? Au unadhani anakupenda sana kuliko mke wake ndo maana yupo radhi kukuomba visivyoombeka😀
📌 Sababu ya 3 ni kupotezewa muda na kucheleweshwa kuwa na familia yako.Unaombwa namba au unatongozwa na mtu ambaye anaweza kukuoa unamkatalia ukidai una mahusiano Wakati mahusiano yenyewe una Mume wa mtu....Afu kibaya zaidi Mume wa mtu akikushika akili anavunga ana wivu na ww balaaa😀ukiwa naye anakagua simu yako hataki taktaka zingine ili azidi kukupotezea muda vizuri
Wanaume ambao wanamaanisha kuwa na wake bora kukukwepa na kutokukuhitaji.Wale vijana wanaohesabiwa katika kundi la vijana wanaojielewa hapo mtaani Kwenu ,wale wenye viduka vyao ,wenye elimu zao ,wale ambao wameanza kupiga hatua kimaisha wanakukwepa tu😀haujarogwa dada Shida ni hiyo tabia yako ya kudandia waume za watu
Kukosa huduma za Kiroho/ Kiimani/ Kidini.
Huwezi Kuwa imara kiimani Wakati unajipakiza jasho la waume za watu
Kujiwekea uadui kati ya kizazi cha mke halali na wewe.
. Unajiandalia kesho iliyo mbaya...hii dunia Ina karma,Leo hii unafurahia machozi ya mwanamke mwenzako,akifuma sms zako za mapenzi Kwa Mume wake akikutafta unajibu Kwa jeuri kwamba CHA PEKEE YAKO KABURI,nikutoe tu wasiwasi dada angu mzuri kesho na kesho kutwa utaolewa utalipa deni na riba juu( dada utazalishwa mwanamume atakutelekeza atahamia Kwa mchepuko,mpendwa SI ulisema Cha pekee yako kaburi sawa utaletewa ugonjwa ndani ya ndoa utalia na kusaga meno,KARMA
Kuachwa na mume mara baada ya kuamua kuirudia familia yake.
Wakati wewe unajiona mjanja ,Mume wa mtu yupo zake busy kumzalisha mke wake wanalea watoto ,wanasomesha ,wanajenga watu wanapiga hatua kimaisha,siku ya siku akikuchoka anaachana na ww mikono mitupu ukichoambulia ni hiyo pichu nyeupe,simu Pengine na utamu uliyofaidi..ww unaenda kuanza upya Kwa mwanamume mpya ambaye naye atataka akaye na ww angalau mwaka akiwa anakupima ndo aamue akuoe au lah
. Watoto wako kukosa uhuru na baba yao (endapo utazaa na mume wa mtu)
Mambo ni mengi lakini elewa hivyo Kwa leo.
Created by: magical power