Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

Kuoa bikra ufahar sana basi sema ndo hivo sio sifa pekee na ngum kumpata mwanamke mwenye wife materials af bikra I have wife with Gud wife materials lakn I wish ningemkuta bikra I would be on top of the world
 
Kuna thread moja ulisema bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuishi Africa hivyo kwa ili uliloandika hapa sishangai kabisa.
 
Vip kama zingekuwepo kirahisi?!!
 
Pole sana House gal....I understand such kind of painful u have...BIKRA ina thamani na maana kubwa sana kwa mwanamke.

-Ni HESHIMA KWAKE MWENYEWE, kwa WAZAZI Wake na kwa MUME wake atakayemuoa.

-Ni ishara kuu ya KUJITUNZA kwa binti mwenye nayo.

-Ni AGANO lenye umuhimu sana linalohusisha umwagaji damu. Hii ipo kiroho zaidi jitahidi ujifunze.

Back to the topic:- Tangu kuumbwa kwa Mbingu na Nchi,BIKRA iliwekwa kwa binadamu wa jinsia ya kike(Binti) na hakuna popote pale Mwanaume aliwahi kusifiwa ubikra wake hata Yusufu alisifiwa kukwepa zinaa ila sio kuwa bikra japo hakuwahi kufanya hilo tendo.

Dunia hii ya leo wengi sana hatuioni thamani ya BIKRA kwa mwanamke kwani wao wenyewe mabinti hawaoni thamani yake na hawaijali.

ILA nakusupport kuwa sisi Wanaume ndio tunawabikiri wanawake hivyo tusiwalaumu na kuwahukumu tu wanawake.

Take that.
 
Wengine Mkuu amejitunza adi anamiaka 20+ lakini akibanduliwa tu ndio itakuwa ni fungulia mbwa kila mtu atapita..Ndio kujitunzza gani huko
 
Wewe mwanaume mwenye bikra utamtoa wapi? Ata kama hajawai gegeda hakuna mwanaume atakuambia sijawahi na kingine utajuaje kama hana bikra? Lakini mwanamke ukiingiza tu jibu unalipata tena afadhali ukute wameachamo kidogo make wengine utakuta bwawa
Sio hivyo tu Mkuu,soma vitabu vyoote vya dini...Mwanaume Hakuumbiwa BIKRA,na hajawahi kusifiwa kuwa na bikra hata siku moja.

Yusuph hakuwahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote na aliukwepa mtego wa zinaa kwa Malkia wa Misri ila alisifiwa kwa kukwepa zinaa na sio kwa kuwa bikra.

Paulo Mtume vivyo hivyo hakuwahi kuwa na habari na wanawake ila hakusifiwa wala kuandikwa eti alikuwa BIKRA.

Huyu dada kuna tukio labda lilimtokea sasa linamuumiza sana au anajutia. Very sorry to her,thats what I hv tried to observe from her topic.
 
Wengine Mkuu amejitunza adi anamiaka 20+ lakini akibanduliwa tu ndio itakuwa ni fungulia mbwa kila mtu atapita..Ndio kujitunzza gani huko
Soma vizuri comment yangu mkuu,ni hivii KUJITUNZA na heshima ya BIKRA ya Mwanamke kwa Mumewe inadhihirika pale atakapoolewa na kukutwa nayo (hv u ever imagine how wonderful their honeymoon ll be?)...akiondolewa kabla ya kuolewa kwa ndoa rasmi,hata akiwa na miaka 30 bado haitakuwa na thamani wala baraka tena.
 
Haya nimekuelewa lakini wajitunze hivyo hivyo baada ya kubanduliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…