Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hana

L
i
Linapokuja suala la ubikra inategemea na mtu. Kuna wanaume wanapenda kuoa bikra hata kamahuyo bikra hana vigezo vingne lakn kwa kuwa mtu kwa wakat huo anachojali yy ni kutoa bikra. Kuna wanaume wengne wenyewe wana vigezo vyao. Kwao mwanamke wa kumuoa ni zaidi ya bikra.
nna classmate wangu alioa bikra, ni wanasumbuana mpka jamaa kaamua kuhama mji
Kahamia mkoani ili tu aepuke vurugu za mke. Yy alipooa aliangalia bikra kwanza then tabia za mtu ndo zikafuata.
Kuna waliioa used tena waliozaa kabisaa. Classmate wangu mwingne yeye alimkuta mdada kazalishwa analea mtoto mwenyewe, walipokutana mtoto alikua na miezi sita. Jamaa akamuoa yule dada na mtoto wake anamlea. Wamejaliwa kupata watoto wengne wawili kwa huo jumla wana watoto watatu and they live happily.
Ninachotaka kusema ni kuwa maisha hayana kanuni. Unaweza ukaoa bikira na mkaishi vzr tu, lakn pia waweza oa bikra na akakupa head ache ya kutosha tu. Yote katika yote ni kumwomba Mungu akupe mwenza mwema wa maisha. No offense kwa wasio na bikra, hata nyie bado mna nafasi ya kuolewa kwan si kila mwanaume kigezo chake kikubwa ni bikra. Kuna wanaume hawajali kama kakukuta una bikra ama huna, yy maadam kakupenda atakuoa. Msio na bikra msipaniki sana, na nyie ambao bado hamjauza zenu endeleeni kuzitunza.
 
nice comment!!!
 
Kwa viwango vya dini uasherati ni dhambi.

Hayo mengine maneno tu ya kufunga wanawake kifikra na kuendeleza mfumo dume

Nimeshatoa tahadhari kwa mdada kuwa na mwanaume mnafiki na mungu mtu anayeona viwango vya dini haviApply kwake.

Bye
 
Kuna thread moja ulisema bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuishi Africa hivyo kwa ili uliloandika hapa sishangai kabisa.
Acha ushakunaku. Unless una matatizo ya comprehension, niliandika kueleza Kwanini kuna kuna msemo huo uliotaja.
 
Kwa viwango vya dini uasherati ni dhambi.

Hayo mengine maneno tu ya kufunga wanawake kifikra.

Nimeshatoa tahadhari kwa mdada kuwa na mwanaume mnafiki na mungu mtu anayeona viwango vya dini haviApply kwake.

Bye
Hahaha...unajua wengi tunaoshangaa hii mada yako ni kwamba tunajiuliza kuwa ni kwanini umeandika kihasira na kupanic namna hiyo? Kila comment yako inadhihirisha umeumia/umeumizwa. Kuna kilichokukuta may be?
 
Hahaha...unajua wengi tunaoshangaa hii mada yako ni kwamba tunajiuliza kuwa ni kwanini umeandika kihasira na kupanic namna hiyo? Kila comment yako inadhihirisha umeumia/umeumizwa. Kuna kilichokukuta may be?
Me naona jiwe limerushwa gizani manake wanaume ndo mnaona nimepanic. Au ulitaka Usijibiwe!!
 
binafsi naamini bikira ina hadhi yake hasa kwa mtoto wa kike kuwa nayo... Bikira huwa ni fahari kuwa nayo lakini haikupi uhakika wa kuishi milele na mwanaume wa kwanza kukutoa.

Wengi wamekutwa na bikra lakini mahusiano yao hayakufika popote pale kutokana na aina ya mtu aliyekuwa nae kuwa alitamani zaidi. Wengi wamejuta kutolewa bikira zao kabla ya ndoa na hili ni wasichana wengi limewakuta na kuwaumiza sana... Nina uhakika hata Wewe house girl uliyenae kwa sasa sio yule aliyekuanza kwa kuwa wakati mnaanzana wote mlikuwa wageni na hamkujua kuwa bikira sio sababu ya wapenzi kuishi milele.

Unaweza ukakutwa bikira na Ukaonyeshwa kila aina ya Upendo lakini mwisho wa siku unaachwa na anakwenda kutafutwa ambaye hana Bikira. Hapo ndipo utajua umuhimu wa bikira ni Upi.

KUHUSU WANAUME KUHITAJI WENYE BIKIRA WAKATI WAO HAWANA..

Kwanza nikwambie kitu kimoja ambacho naamini unaweza kukiamini au kutokukiamini. Ni kwamba wanaume tulio wengi bado hatuijui bikira na bado hatujakutana na wanawake mabikira.. Wengi tumekuwa tukiihitaji bikira kwa kuwa tumesikia kutoka kwa Marafiki zetu lakini hata tunapokuwa na hao mabikira tunajikuta tukiwachezea na kuwaacha. Kwahiyo mwanaume asiye bikira kuhitaji mwanamke bikira huletwa na stori za Marafiki ambao walishawahi kukutana na Mabikira na hata kama akifanikiwa kumpata basi uhusiano hautafika popote na hapo ndipo utakapogundua kuwa bikira si kigezo cha kuishi milele na mwanaume eti kisa amekukuta hujaanza.

Lakini Pia Bikra huwa na heshima sana hasa kule Vijijini kwetu, na msichana akikutwa na bikira basi familia husika hujisikia fahari Sana... Na kinachotokea ni Binti kuolewa kwa ndoa safi huku akipewa heshima zote tofauti na Huku.

Ukweli ni kwamba Vyuo Hubadilisha watu sana.. Wengi wanatoka Mikoani hawaijui dar wala mwanza.. Wanakuja wakiwa na Heshima zao lakini baada ya kuzoea mazingira Ya Chuo na kutaka kuiga kila anachokiona ndio sababu ya wengi kuharibu bikira zao na Kujikuta wakiachwa.

BINAFSI NAMSHUKURU MUNGU MWANAMKE NILIYEZAA NAE NIMEMKUTA BIKIRA INGAWA KWA SASA SIPO NAE LAKINI HUWA NAJISIKIA FAHARI PALE ANAPONIKUMBUKA...

Kwahiyo Bikira Sio kigezo thabiti cha kukuhakikishia ndoa au mahusiano bora.

Lakini ni Fahari kwa mtoto wa Kike kukutwa na Bikira....... Ingawa ni ngumu kuipata kwasasa kwa kuwa hata watoto wa darasa la tano washaujua mgegedo na ni mafundi kupita hata watu wazima
 
Umemsaidia housegal natumaini ataelewa kua bikira inathamani sana kwa binti
 
Unarudia mambo tumeshaongea huko nyuma...

Narudia, Kwa misingi ya dini, uasherati ni dhambi. Unless hauna dini, Hata mwanaume mseja anapaswa kujivunia kuwa bikra.

Kinyume na hapo ni UNAFIKI, UMUNGU MTU, na MFUME DUME.

Tena umedhihirisha unafiki huu vizuri. Unajivunia kuzaa na bikra wakati hukumuoa. HUJIONI KAMA WEWE UMETENDA DHAMBI.

Huyu mwanamke ni single mother lakini kutwa unawasema masingle mother humu. Hivi hujioni? Au stress za kuachwa naye?

Ndomana nimesema nyie ni wa kudhraulika. Hawa wadada wawaangalie
 
labda sijalielewa bandiko lako lakini nimejibu kadri nijuavyo miye.. Mwanaume kuhitaji bikra wakati yeye sio bikra hayupo serious kwa kuwa utawezaje kupata bikra ikiwa wewe ndio unazitoa kwa hao wasichana?

kidini inakubalika ikiwa wewe sio mchovyaji lakini ukiwa muasherati na muharibifu kwa watoto wa kike basi maombi ya kutafuta au kuchaguliwa mke bikra ni kujikosha.kila aliyekivunja kikombe basi na akitumie milele

kukujibu kwa kifupi ni kwamba Ibrah sina stress na kamwe sitakuwa hivyo naongea kile ambacho nakitambua bila kujali wewe utanichukulia vp. sitaacha kuwasema na kusema ukweli na kwakukusaidia tu mwanamke niliyezaa nae yupo ndani ya ndoa so nadhani bado akili yako inasumbuliwa na ibra ndio maana hatajibu lako kwangu ni tofauti na Wengine.
 
Haha unaona eh . Me sielewagi mahesabu wanayopiga hadi kutuona tumechoka. ...
Waache tu huo msemo manake wanasema wake za watu na heshima zao. Humo ndani na kubakwa juu. Hawaoni.

Kwani mahesabu ya km za gari yanapigwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…