Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza asilimia mia kokote duniani.

Alipewa kura za ubunge ili awaletee wananchi maendeleo kule Singida lakini akarudi kwenye asili yake ya uchochezi na kujikuta kazi yake kubwa ni kuichokonoa serikali bila kujali ni nini alitumwa na wananchi.

Tangu awe mbunge kazi yake ni kusema mabaya tu kuhusu serikali huku akiwa hajui kero sahihi za wananchi wake Singida anayebisha aseme kawafanyia nini cha maana Singida.?? Hata siku moja huwezi kumsikia Lisu akizungumzia kero za wananchi wake.!

Kinachomuondoa kwenye ubora au kinachompoteza kwenye ubora ni kwamba "Hatoshi kuwa kiongozi" maana alikuwa bora katika harakati za haki za binadamu lakini alipopewa uongozi akapoteza ubora kwa kukosa hoja kabisa na akawa mtu wa kujadili matukio na ikumbukwe kiongozi mwenye uwezo wa kujadili sana matukio ni virahisi pia kutengeneza matukio ili apate sapoti ya wananchi kuyajadili.

Kiongozi hutumia hoja kufanya maendeleo huku mwanaharakati akiwa ni mtu wa matukio tu bila kuwa na hoja za kuwaletea wananchi maendeleo.

Mwisho Lissu hafai kuwa kiongozi ila anafaa kuwa mwanaharakati wa haki za binaadamu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kiongozi anaongoza miti? si hao hao watu ili wapate haki zao? acha ushabiki na kuweka akili pembeni, labda kama hamnazo.
 
Kwani kuikosoa serikali ni uchochezi. Unataka kuwafanya wananchi wa ikungi hawana akili timamu kama wewe. Yaani hawajui uchochozi na ukweli? Avheni hizo mheshimiwa
HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza asilimia mia kokote duniani.

Alipewa kura za ubunge ili awaletee wananchi maendeleo kule Singida lakini akarudi kwenye asili yake ya uchochezi na kujikuta kazi yake kubwa ni kuichokonoa serikali bila kujali ni nini alitumwa na wananchi.

Tangu awe mbunge kazi yake ni kusema mabaya tu kuhusu serikali huku akiwa hajui kero sahihi za wananchi wake Singida anayebisha aseme kawafanyia nini cha maana Singida.?? Hata siku moja huwezi kumsikia Lisu akizungumzia kero za wananchi wake.!

Kinachomuondoa kwenye ubora au kinachompoteza kwenye ubora ni kwamba "Hatoshi kuwa kiongozi" maana alikuwa bora katika harakati za haki za binadamu lakini alipopewa uongozi akapoteza ubora kwa kukosa hoja kabisa na akawa mtu wa kujadili matukio na ikumbukwe kiongozi mwenye uwezo wa kujadili sana matukio ni virahisi pia kutengeneza matukio ili apate sapoti ya wananchi kuyajadili.

Kiongozi hutumia hoja kufanya maendeleo huku mwanaharakati akiwa ni mtu wa matukio tu bila kuwa na hoja za kuwaletea wananchi maendeleo.

Mwisho Lissu hafai kuwa kiongozi ila anafaa kuwa mwanaharakati wa haki za binaadamu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu yeye kama yeye hata akitoa hela yake mfukoni au atafute kwa wafadhili mtasema amehongwa na mabeberu achafue nchi. Hamchelewi kusema anatakatisha fedha . Hata hivyo mtawaambia wahusika wasipokee mfano ya lyatonga mrema 1996 unakumbuka au ulikua unanyonya
Wananchi wanataka maji, shule ,barabara ,ujenzi wa vyoo kama Sugu anavyofanya jimboni kwake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu yeye kama yeye hata akitoa hela yake mfukoni au atafute kwa wafadhili mtasema amehongwa na mabeberu achafue nchi. Hamchelewi kusema anatakatisha fedha . Hata hivyo mtawaambia wahusika wasipokee mfano ya lyatonga mrema 1996 unakumbuka au ulikua unanyonya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wabunge wenzake akina Sugu wanatatua shinda za wananchi majimboni mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza asilimia mia kokote duniani.

Alipewa kura za ubunge ili awaletee wananchi maendeleo kule Singida lakini akarudi kwenye asili yake ya uchochezi na kujikuta kazi yake kubwa ni kuichokonoa serikali bila kujali ni nini alitumwa na wananchi.

Tangu awe mbunge kazi yake ni kusema mabaya tu kuhusu serikali huku akiwa hajui kero sahihi za wananchi wake Singida anayebisha aseme kawafanyia nini cha maana Singida.?? Hata siku moja huwezi kumsikia Lisu akizungumzia kero za wananchi wake.!

Kinachomuondoa kwenye ubora au kinachompoteza kwenye ubora ni kwamba "Hatoshi kuwa kiongozi" maana alikuwa bora katika harakati za haki za binadamu lakini alipopewa uongozi akapoteza ubora kwa kukosa hoja kabisa na akawa mtu wa kujadili matukio na ikumbukwe kiongozi mwenye uwezo wa kujadili sana matukio ni virahisi pia kutengeneza matukio ili apate sapoti ya wananchi kuyajadili.

Kiongozi hutumia hoja kufanya maendeleo huku mwanaharakati akiwa ni mtu wa matukio tu bila kuwa na hoja za kuwaletea wananchi maendeleo.

Mwisho Lissu hafai kuwa kiongozi ila anafaa kuwa mwanaharakati wa haki za binaadamu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mapunguani yapo mengi ila hili linazidi yote . nchi hii tangu ipate uhuru inaongozwa na ccm ina maendleo gani hasa?
 
Hujitambui
 
Kumbe wewe si mkazi wa ikungi kwa mujibu wa maelezo yako ila title ya uzi inakuelezea wewe kama mwana ikungi PUMBAVU KABISA.
.
Wewe kama umetumwa na Bashiru au magufuli nenda kawaeleze wananchi wameshituka na MAUONGO yao wana dhambi mbaya sana na zitawaandama popote.
 
Back
Top Bottom