A
Bayport ni wezi siku nyingi sana nashangaa bado kuna watu wanapigwa.
Tunawindwa mnoo na vikampuni vya kukopesha,,simu kila dakika..sijui hawa bayport wanapata wapi contact zetu maana sijawahi kukopa baypotBado wanapigwa aisee!
Kuwa mtumishi bongo hii jau sana.
Tunawindwa mnoo na vikampuni vya kukopesha,,simu kila dakika..sijui hawa bayport wanapata wapi contact zetu maana sijawahi kukopa baypot
Naunga hojaNarudia kuwaonya kama rafiki yenu, ndugu wa karibu.. usije kurogwa kukopa huo mkopo wao kama utakuwa na shida sana na ikakulazimu kukopa mara 100 bora uuze hata kitanda chako au godoro..
Huu mkopo ujue kwamba riba yake inaongezeka kila siku.. unaweza kukopa laki mbili ukikaa mwezi mzima utalipa laki 3 na zaidi..
Na vile vile kama unatumia nmb huko wamejiunga nao na unaweza kukatwa kwenye mshahara moja kwa moja tena bila kushirikishwa
Nawaonya tena, mtaukumbuka huu uzi
Kumbe bayport ni popocash waliochangamkaKuna hawa wanaitwa FANIKIWA MICROFINANCE kila siku wanakutumia meseji kwa namba mpya! Sjui wanatoaga wapi namba