Ewe mfugaji jipate mbegu za azola kwa bei ya shambani

Ewe mfugaji jipate mbegu za azola kwa bei ya shambani

swagy

Senior Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
135
Reaction score
204
Habari za leo wapendwa, baada ya kujuzwa faida ya mmea wa azola ulivyo na ufanisi na mkombozi kwa wafugaji, niliingia shambani kwa ajili ya kilimo na sasa mavuno yako tayari.

Kwa yeyote anayehitaji mbeguza azola kuanzia kilo moja hadi gunia kadhaa nomba anitafute kwa simu Namba 0624924930.pia nampatika kwa WhatsApp kwa namba hiyo hiyo Napatikana Simiyu, kilo moja ya mbegu za azolla ni sh 5,000 tu.

Popote zinakufukia.

Jielimishe kuhusu azola hapa MAARIFA: Maajabu ya mmea wa Azolla katika kilimo na ufugaji

Pia hapa Azolla mkombozi wa wakulima na wafugaji nchini

Karibuni sana kwa hudumu bora naya uaminifu kwa 100%

IMG_20231212_120017.jpg
 
Back
Top Bottom