Ewe mlevi mwenzangu je ukilewa mbele ya mkeo pia huwa anakukataza?

Ewe mlevi mwenzangu je ukilewa mbele ya mkeo pia huwa anakukataza?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani.

Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe au mambo mengi, pombe zinaachwa kwa step ila pia ni wake wengi mbona wanapenda waume zao wanywe nao live.

Mwingine ye hataki hata unywe mbele yake utasikia anasingizia hapendi harufu wakati familia yake pia wanakunywa hata baba yake.

Points zake kwamba pombe zinachelewesha maendeleo. Je, bia 5 kila siku zitafanya ushindwe kujenga nyumba? Kama huna huna tu.
 
Back
Top Bottom